TANZANIA IS A SATANIC NATION.

Hii nchi ni kati ya taifa ambalo watu wake ni washirikina wa kutupwa nyuma ya Nigeria na DRC Congo,Cha ajabu wamejificha kwenye numerous religion segments
Badala watafute maarifa na elimu wako busy na uchawi hata humu ndani huoni comments zao? They never agree that they have problems
 
Tunataka sheria ichukue mkondo wake. Huo upuuzi hautavumilika.
 
It's so sad. May the little girl rest in eternal peace with angels.
 
Have you done any kind of research? Don't run immediately into rush judgement! Tz is not an evil country!
 
Hii ishu imetutia aiba.bt ni southern region,(mbeya) ambayo ndo kuna mambo magumu na ya kutisha.hope ,serikali italifanyia kazi hili
 
Mbeya ni mkoa unasemekana una makanisa mengi na pia ushirikina umeshika kasi wachawi wamejaa makanisani
 
Ati nini? Hawa ndio wanaongoza dunia nzima kwa ushirikina.
 
Punguza mihemuko siyo kila Mtanzania ana imani kama za huyo Baba, Tanzania may not be a Holly nation but it is not anywhere close to that description that of u've put in your thread.
 
Ndo maana wanakiwa ranked first in sorcery and witch crafty index.
Mbona nyie mnaimani chafu za kishirikina na huwa hatuwa generalize kama mnavyofanya.....

By the way hiyo ni tabia ya mtu mmoja na ameongozwa kwa tamaa zake binafsi
 
Shetani mkubwa kenya ni pastor wako Prophet Owuor
 
Usiniletee hizo bifu zenu za sunday school, sio kila mkenya ni mkristo. Sijaskia hata siku moja wakumshutumu huyo nabii feki, kwamba amehusika kwenye mauaji ya watoto wadogo au albino.
Kweli sio kila mkenya ni mkristo lakini wewe na mamilioni wa wenzako mnafuata shetani Prophet Owour..Mnayo yafanya hatuyajui ila kutoa kafara watoto ni sambaba na madhehebu hayo..Ama unataka kumtetea pastor wako?
 
Kweli sio kila mkenya ni mkristo lakini wewe na mamilioni wa wenzako mnafuata shetani Prophet Owour..Mnayo yafanya hatuyajui ila kutoa kafara watoto ni sambaba na madhehebu hayo..Ama unataka kumtetea pastor wako?
Sina huo muda wa umbea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…