Tanzania imethibitisha kuwa ni timu imara na imedhamiria kupambana na kushinda kombe la CHAN.
Tumefurahishwa sana i jinsi wachezi wetu wote walivyo cheza kwa bidii na maarifa na kupata ushindi wa mabao 2.
Sisi mashibi wazalendo tutaendelea kushangilia bila kuchoka.
Huu ndio mwaka wetu watanzania, tuungane kuitia nguvu timu yetu.