FactTanzania inatakiwa ifike hauta za juu katika mashindano aya kwakua asilimia kubwa inawachezaji wazoefu walio cheza mechi nyingi kubwa kwa ngazi ya klabu na timu ya taifa.
Wachezaji karibia wote Wana CAPS zaidi ya kumi.
Wachezaji waliopo Sasa wamesha cheza mechi nyingi za taifa wakipambana na senior team za mataifa makubwa kisoka Afrika.
Wamejituma sana, wakiendelea kucheza ki timu kama wanavyo cheza wanaweza kuliletea Taifa Heshima kubwa katika soka baada ya kusubiri kwa muda mrefu.
Makocha wa sisitize umoja kwa wachezaji na kuwashauri wachezaji wasi tilie maanani ushabiki wa nje ya uwanja kwa baadhi ya mashabiki wanao leta u Simba na Yanga kuwagawa wachezaji ki hisia.
Hilo halina uhalisia , subiri ukutane na Misri , au morocco , au south africa , au ghana au Senegal, tukupime uwezo🤣Tanzania inatakiwa ifike hauta za juu katika mashindano aya kwakua asilimia kubwa inawachezaji wazoefu walio cheza mechi nyingi kubwa kwa ngazi ya klabu na timu ya taifa.
Wachezaji karibia wote Wana CAPS zaidi ya kumi.
Wachezaji waliopo Sasa wamesha cheza mechi nyingi za taifa wakipambana na senior team za mataifa makubwa kisoka Afrika.
Wamejituma sana, wakiendelea kucheza ki timu kama wanavyo cheza wanaweza kuliletea Taifa Heshima kubwa katika soka baada ya kusubiri kwa muda mrefu.
Makocha wa sisitize umoja kwa wachezaji na kuwashauri wachezaji wasi tilie maanani ushabiki wa nje ya uwanja kwa baadhi ya mashabiki wanao leta u Simba na Yanga kuwagawa wachezaji ki hisia.
Hapo kwa Misri na AlgeriaHilo halina uhalisia , subiri ukutane na Misri , au morocco , au south africa , au ghana au Senegal, tukupime uwezo🤣
Fainali timu ya taifa tutasubiri kwa miaka mingine Mingi.Tusipocheza fainali mwaka huu, basi itatuchukua muda mrefu sana.
Kwa kwelintimu yao mbovu ukiondoa kipa nanyule left fullback. Poor technical quality kabisa kabisaTumekutana na timu C ya taifa la burkinafaso.
Senegal kwa wachezaji wa ndani hakuna kituHapo kwa Misri na Morocco
Huo ni mwanzo tu ngoja tuone mechi zijazo