Tanzania is among the heavily indebted poor countries (HIPC) - World Bank

Nchi maskini kama Tanzania hamfai kuwa heavily indebted maana hata miundo mbinu hamna, hivyo itawabidi mkope ili kuyafanikisha.
Leo hii ndio mnaanza kushangaa fly over ya kwanza.
Ebu upload ile flyover yenu ya nakuru tufurahi kidogo..!!
 
Wewe jamaa. Sasa Ethiopia ambayo inakuwa kwa asilimia karibia kumi kwa mwaka, wao pia hawajitoshelezi kichakula. Sasa utawakejeli na kuwatusi eti kwa sababu hawajitoshelezi kichakula?
 
Ebu upload ile flyover yenu ya nakuru tufurahi kidogo..!!
Nakuru ni town ndogo kwa hivyo fly-over pia ni ndogo. Msilinganishe fly-over ya Nakuru na hiyo ya Dar kwani Dar ni capital city na Nakuru si capital city. Nakuru ni town nilikoishi zamani, ipe Nakuru heshima yake wewe danganyika
 
Wewe jamaa. Sasa Ethiopia ambayo inakuwa kwa asilimia karibia kumi kwa mwaka, wao pia hawajitoshelezi kichakula. Sasa utawakejeli na kuwatusi eti kwa sababu hawajitoshelezi kichakula?
Nchi yoyote ile duniani ambayo huwa haijitoshelezi kwa chakula na hata kufikia hatua ya kuomba na kupokea msaada wa chakula hiyo ni shithole country hata kama uchumi wake unakua kwa100%, so what.
 
Kwahiyo mumezoea kuwa failed State na hakuna hatua zozote wala matumaini ya kutoka?
https://www.nation.co.ke/news/polit...peaceful-poll/1064-1893004-j93e9vz/index.html
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hio article ni ya 2013. Hata kama kwa mfano, tungekuwa failed state 2013, hakuna vile bado tunaweza kuwa failed state 2018. Miaka tano ni nyingi sana. Halafu hio firm haijulikani, kwa hivyo tafuta ripoti ya World bank, IMF au U.N uposti hapa ndio watu watakuchukulia serious, otherwise watu wataipuuza hio ripoti uchwara uchwara.
 
Nchi yoyote ile duniani ambayo huwa haijitoshelezi kwa chakula na hata kufikia hatua ya kuomba na kupokea msaada wa chakula hiyo ni shithole country hata kama uchumi wake unakua kwa100%, so what.
Qatar na Saudi Arabia basi pia ni Shit-hole kulingana na hayo masharti uliyotoa
 
Nakuru ni town ndogo kwa hivyo fly-over pia ni ndogo. Msilinganishe fly-over ya Nakuru na hiyo ya Dar kwani Dar ni capital city na Nakuru si capital city. Nakuru ni town nilikoishi zamani, ipe Nakuru heshima yake wewe danganyika
Dar is a city that has organised public transport systems. For a long time dar did not require flyovers and superhighways. But the recent surge in prosperity demands such infrastructure to be built.BRT is also being expanded while kenya paints its BRT
 
Organised kivipi, fafanua zaidi. Mimi nilikuwa nikifikiri kuwa Dar hawakuwa na fly-over kwa sababu magari yalikuwa machache kwa hivyo hakukuwa na haja ya kujenga barabara za gorofa
 
Nakuru ni town ndogo kwa hivyo fly-over pia ni ndogo. Msilinganishe fly-over ya Nakuru na hiyo ya Dar kwani Dar ni capital city na Nakuru si capital city. Nakuru ni town nilikoishi zamani, ipe Nakuru heshima yake wewe danganyika
haya upload flyover ya nairobi tuione
 
Organised kivipi, fafanua zaidi. Mimi nilikuwa nikifikiri kuwa Dar hawakuwa na fly-over kwa sababu magari yalikuwa machache kwa hivyo hakukuwa na haja ya kujenga barabara za gorofa
Organized transport kama BRT, Even people who have cars prefer BRT because its cheaper and always on time. Just like London Underground(subway).
Kenya on the otherhand has no organised transport, the much hyped Thika superhighway has not helped ease Jams. Its jam packed as early as 5:30AM despite its fly overs and other spagetti exit and entry points
 
And yet Tanzania feeds hunger stricken Kenya alias Kunyaland! That poor country snatched pipeline deal from Kunyaland n seems might do the same for SGR Uganda deal.
We buy you never give us free, Tanzania is too poor to help anyone! you can't afford. Yet mukiwa na majanga GoK sends money and stuff to assist. Tamzania ni ovyo!!!
 
Wanajaribu kujitetea sana! Imefika wakati tunaenda kinyume cha tamaduni na inapasa tumuelezee "mama seat properly, kwa kua ameketi vibaya kwa muda sasa"(Tanzania). Na huyu naye ni jeuri sana, anapinga na matako yote yako nje., Tanzania ya vi-wonder!!!
 
We buy you never give us free, Tanzania is too poor to help anyone! you can't afford. Yet mukiwa na majanga GoK sends money and stuff to assist. Tamzania ni ovyo!!!
I dont remember kenya giving any money/assistance to Tz. The money used to buy Tz maize is borrowed from eurobond
 
Hao ni wachochezi. Chini ya uongozi wa magufuli tanzania imepunguza kukopa kwa kasi ya ajabu tangu tupate uhuru.

Hicho ni kichekesho,usikichukulie serious
Kupata hiki kichekesho na vingine kama hivi wasikilize wasemaji wa Serikali.
 
Qatar na Saudi Arabia basi pia ni Shit-hole kulingana na hayo masharti uliyotoa
Ninashindwa sijui nikujibu nini kwa jinsi uwelewa wako ulivyo, labda unajifanya huelewi ukweli, nimesema nchi kujitosheleza sio kuzalisha hakula. Kuna njia kuu 2 za kujitosheleza kwa xhawula, 1)Kuzalisha chakula chako 2)Kuwa na uwezo wa kununua na kukipata wakati unapokihitaji, nchi yenyekutimiza haya yote mawili, haiwezi kukumbwa na njaa hadiqkufikia hatua ya kuomba na kupokea msaada wa chakula, nchi za Arabuni.
 
Sasa huo ujanja wenu hauwasaidii nyie, maana nchi mnaliwa madini yote had yanabaki mahandaki, kila siku mnatajwa kuwa maskini, mbaya zaidi mna madeni balaa.

Mkitaifisha mali za kina Kenyatta na Lord Dalamare, NDIYO uje kuongea huo ushuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…