Tanzania is among the heavily indebted poor countries (HIPC) - World Bank

Kwahiyo Kenya ilipoingia kundi la lower middle income countries in 2014, imeshuka haipo tena huko?, muhimu ni vigezo kama vigezo vya failed State bado vipo hakuna jinsi mtatoka hill, niambie kati ya hivi vigezo vilivyowafanya muwekwe ktk kundi la failed States, kipi hakipo kwa sasa? Why Kenya could be among failed states
 
Nchi maskini kama Tanzania hamfai kuwa heavily indebted maana hata miundo mbinu hamna, hivyo itawabidi mkope ili kuyafanikisha.
Leo hii ndio mnaanza kushangaa fly over ya kwanza.
Incase hujui ni kwamba kwa sasa Tanzania ndio infrastructural dominant in the region hilo ukae ukilitambua is the matter of upgrading statistics only and completion of several projects but Tanzania we have no competitor on that matter so far.
 
Msaada tunazipokea bila sisi kuomba. Nchi za uarabu zikitupa msaada, tunazichukuwa kwa maana sisi hatuna maringo. Hakuna siku Uhuru Kenyatta amewahi enda nchi yoyote kuomba msaada wa chakula. Sisi huwa tunanunua chakula kwa pesa yetu kutoka kwa ushuru wa Wakenya wenyewe.
 
Usichekeshe watu katika kipindi hiki cha msiba wa King Majuto, kwanini USAID wasipele chakula Qatar badala yake wanaleta Kenya na Ethiopia?
Food Assistance Fact Sheet - Kenya | Food Assistance | U.S. Agency for International Development
 
Incase hujui ni kwamba kwa sasa Tanzania ndio infrastructural dominant in the region hilo ukae ukilitambua is the matter of upgrading statistics only and completion of several projects but Tanzania we have no competitor on that matter so far.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole kaka., outside Dar do you have any city the level of Mombasa? even infrastructure wise?., [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tanzania ya Vi-wonder kweli., ndio mnaanza kufanya what we did in the past years, kujenga gorofa tatu za maana in Dar na ka BRT running through shanty City., the first flyover., [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijiabishe tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…