Tanzania is building their second flyover as Nairobi is currently building their 50th one.

Tanzania is building their second flyover as Nairobi is currently building their 50th one.

Naona jamaa wa majungu wapo tu wanaponda kila kitu ila hawana cha kuonesha.
C_DvydUWAAIV36w.jpg
Cha ajabu ni kwamba barabara ya Southern Bypass tu ina flyovers na interchanges kama hizo hapo 6.
 
Alafu kwani kenya ina county moja tu?
Kwa sababu huwa wanaonesha barabara za Nairobi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Au ndio ule msemo wa kenya ni Nairobi tu tena small part ndio unadhiirika.
Hawana malengo na brt Hawa
Sasa ile lipstick walizopaka barabarani zitakuwaje [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maanayake wanajenga flyover mpya bila kuzingatia brt system arafu watakuja kulilia brt !!! Kenya ni vichekesho
 

Katika interchange rahisi kujenga ni hizi.. maana huhitaji kujenga madaraja marefu.. in short ukichukua madaraja yaliyojengwa pale Tazara unaweza kutengeneza kama hizi hata nne.

Hapo unahitaji space na rumps tu, na Daraja dogo.

Kwa wale ambao walikuwa hawajui, hii inaitwa cloverleaf interchange.

Tanzania hazipo nyingi kwa sababu ya space, lakini miji kama Mwanza na Mbeya wanaweza kujenga hii, Dar itabidi wavunje sana nyumba.
 
Back
Top Bottom