Tanzania is more corrupt than Kenya

Tanzania is more corrupt than Kenya

Ripoti ni ya kawaida kama ripoti za miaka mingine. Kasoro ndogo ndogo huwa zinakuwa miaka yote na zinafanyiwa kazi. Watu wameamua kutengeneza trend tu.

Nina uhakika asilimia kubwa ya watu wanaoiongelea hata hawajaisoma wala hawaelewi lolote zaidi ya kufuata mkumbo.
 
1618049272924.png
 
Naichukiaga hii kauli. "Leave tanzanian politics to tanzanian". Yani tunakwepa facts kwa sababu imeongelewa na mtu mwingine wa taifa jingine. Fact hubaki kua fact haijalishi nani kaongea. Cha msingi ni kufuatilia fact kama ni kweli
Leave Tanzania politics to Tanzanians. CAG is a political game changer. So it has been were engineered to outsmart our hero. So please I kindly advise you to stay
 
Utofauti wa Rushwa ya Kenya na Tanzania ni kwamba Rushwa ya Kenya inawaumiza wananchi moja kwa moja ndio maana wanapiga kelele kutwa nzima. Lakini Rushwa ya Tanzania iko kwenye makaratasi ya CAG pekee na haimuumizi Mtanzania wa kawaida ndio maana hakuna kelele kutoka kwa wananchi.
Hivi unaongea nn. Mmh
 
Likewise to gdp, the kenya's one looks massive, once you go to feel the mood on ground, are east N west.
 
Likewise to gdp, the kenya's one looks massive, once you go to feel the mood on ground, are east N west.
What has moods has to do with the GDP? Tanzania has been ranked the least happiest country in Africa, is that related to your GDP?
 
What has moods has to do with the GDP? Tanzania has been ranked the least happiest country in Africa, is that related to your GDP?

Bwana mdogo, you are so young to grasp some (english) sayings. I'm referring to the heuristics (and not plain meaning of mood and template). In short was talking about theory and practice. What your (paper based gdp says) and real development to the people, to be articulative.
 
It seems to be true ! I think Mama is trying to reveal everything . CAG was asked to say the truth ! Let us wait and we shall be less corrupt than Kenyans .

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Naichukiaga hii kauli. "Leave tanzanian politics to tanzanian". Yani tunakwepa facts kwa sababu imeongelewa na mtu mwingine wa taifa jingine. Fact hubaki kua fact haijalishi nani kaongea. Cha msingi ni kufuatilia fact kama ni kweli
Kauli inaonesha udhaifu wa mtu kukubali ukweli.
 
Mugufuli wanted to be an angel in the devil's game. Time yake full mashetani na timu pinzani pia full of devils.

Hakujenga alliances, alifikiria angeshinda mwenyewe. Ona sasa wanvyomgeuka. Ona spika wetu alivyoanza unafiki!

Ila haya yote aliyataka mwenyewe, kuongoza nchi bila a succession plan, kuweka vilaza kwenye positions muhimu. Kuwaamini Watu waliokua wanajua udhaifu wake na kumzunguka. They looted behind his back. Wakimuaminisha kama kila kitu kipo sawa.

All in All He was a very good leader but not the greatest. Ametuonesha kwamba inawezekana.

Na mama yetu pia salama yake no katiba mpya tu. Otherwise akitoka wanaweza hata kumtafutia hata kesi na kumfunga.

Na sisi watanzania maneno mengi tupunguze. Sio kuongea kama vile bila Marehemu nchi haiwezi kwenda.
 
Bwana mdogo, you are so young to grasp some (english) sayings. I'm referring to the heuristics (and not plain meaning of mood and template). In short was talking about theory and practice. What your (paper based gdp says) and real development to the people, to be articulative.
But Kenya is more developed than Tanzania and that's why Tanzanian leaders go to Kenya to seek for healthcare and also the reason why the rich take their to Kenya to get education there.
Which development are you talking about wakati electricity connectivity rate in Kenya is more than 75% wakati ya Tanzania is below 40%?
What development are you talking about wakati Kenya has a total of 21,000km of paved roads compared to 12,000km ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom