Tanzania is now East Africa’s most attractive investment destination

yaani danganyika are petty idiots...hii ndio mnasherehekea vitu ambavyo bado havijulikani kama vitatendeka au la...nawaambieni mtendeni kwanza kisha msherehekee...
 
Tanzania ingeweza kuwa attractive zaidi kama Magumashi angekuwa mtu wa kusikiliza watu na kutumia hekima.
 
Hawa jamaa zao ni ma-renders halafu hutawahi wasikia tena.
Kisha waje na renders zingine tena, kisha tena wapotee. (repeat)
 
Kila siku tunawaletea habari kama hizi, mnatutukana eti 'watu wa kupenda misifa' kumbe hua ni wivu tu, leo hii mmtajwa number 1 mnakuja kujisifia... How does it feel kua wa kwanza? that's how we kenyans feel every other day!
 
Kila siku tunawaletea habari kama hizi, mnatutukana eti 'watu wa kupenda misifa' kumbe hua ni wivu tu, leo hii mmtajwa number 1 mnakuja kujisifia... How does it feel kua wa kwanza? that's how we kenyans feel every other day!
Atleast zetu ni work on ground
Or Completed
 
geza here is ur answer for you from an american Tech news letter

Hope it drives ur point home
 
December last year alone Kenya produced 361mw from geothermal
 
Hey investment giants of EAC -ON PAPER

LOOK HERE


“The growth rate seems almost preposterous but we’re seeing 10 geothermal rigs running just in Kenya — they are going crazy with money flowing in,” said Mike Long, executive vice-president of US-based strategic consultancy Galena Advisors. “Geothermal will be growing in Kenya, maybe not to the numbers the government is publishing, but 200 MW per year will be fairly sustained for five+ years.”

 
Pia kuna hii
Wakati wenzetu wakipewa mitungi ya Chang'aa kuwa Treni
sisi jamaa wana tuonyesha vifaa!!
Yaani sisi hatuna papara


Duh, mitungi ya chang'aa haha jamani mbavu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…