Tanzania is officially an authoritarian state.

Wanadanganywa ati uchumi unakua kwa 7% kumbe in 4%
We boga report ya world bank,afdb mbona hamzizungumzii?au kwavile imf imetoa figure mlizozipenda uko kwenu?
Kila nchi inaestimation zake Yaani mm wakisema uchumi unakua kwa 7.3%,WB Wakisema 6.6%,afdb wakisema 6.8% alafu imf wakisema 4% ndio unahusu nn hasa?
Kwani madarasa ya uchumi hua yanapishana notes?
 

Mkuu si uzianike hapa hizo za WB na ADB tumalize ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…