tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
We boga report ya world bank,afdb mbona hamzizungumzii?au kwavile imf imetoa figure mlizozipenda uko kwenu?Wanadanganywa ati uchumi unakua kwa 7% kumbe in 4%
Kila nchi inaestimation zake Yaani mm wakisema uchumi unakua kwa 7.3%,WB Wakisema 6.6%,afdb wakisema 6.8% alafu imf wakisema 4% ndio unahusu nn hasa?
Kwani madarasa ya uchumi hua yanapishana notes?