Tanzania is proving to be a liability in EA integration


Mkuu Masaki
Leo napata point nyingi tu za kutawala kikao (kisichorasmi). Nilifikiri ni mimi tu najua uzuri wa wanawake wa kibongo, kumbe tuko wengi
 
Mkuu Masaki
Leo napata point nyingi tu za kutawala kikao (kisichorasmi). Nilifikiri ni mimi tu najua uzuri wa wanawake wa kibongo, kumbe tuko wengi

Hilo la wanawake wazuri hata Wakenya wenyewe wanalielewa sana! Wakenya kutokuwa na wanawake wazuri ni mojawapo na madhira ya ukabila uliopo huko kwao. Wanaoana watu wa kabila moja, hakuna "inter-marriages", ndio maana vizazi na vizazi wanakuwa vile vile tu!
 
Complementary:- Halafu hata kwa wanawake wazuri tumewazidi pia....🙂

Mzee Masaki
Hili la wanawake wetu ni bomba zaidi limenikuna sana mzee! Wanawake wa Kitz bwana kweli ni Warembo, wakarimu, wapole, wacheshi.. yaani basi tu! Yaani hata ukilinganisha 1st Ladies- Lucy na Salma nadhani tofauti mwenyewe waweza ukaiona Mkuu!
 
kweli nyani haoni kundule ,nahisi huyo mwandishi siyo mkenya au haishi kenya ,umasikini uliojaa Kenya unatisha watu 500 wanakufa kila siku kwa ugonjwa wa ukimwi not to mention large scale slums ambazo hakuna tanzania.Tanzania haihitaji Kenya au Uganda ili kuendelea ,mtu yeyote mwenye akili ataona Tanzania iko mahala pazuri kupata maendeleo makubwa ukilinganisha na nchi zingine,tunachohitaji tu ni kuboresha serikali yetu na mambo mengine machache we will get to the finish line faster than kenyans or ugandans
 
haha eti wanwawake zetu.. The truth nikwamba EA intergration is a foolihs idea. Kwanza, economically kuna gaps.. Tanzania hatuko properly organised, infrastructure yetu mbovu.. elimu wakenya wametuzidi.. or so it appears. Land ownership ni tatizo... watakuja kugrab mashamba yetu huku na mapori ambayo sis hatuna akili yakuyatumia hadi sasa.. Kumbukeni, Kenya hakuna madini yoyote lakini their economy is 10billion dollars above ours.. Waingereza walijenga agroecnomy nzuri kwasababu they knew they were there to stay.Kenya was their property, kama vile Nothern Ireland or the Falklands... Tanzania was a protectorate and the key interest was to exploit more than anything...

Nchi nyingine kama Uganda ziko katika vita and internal rebellion..Hakuna amani, same for Rwanda.. nchi inayoendeshwa kwa kutumia majeshi. incursions into COngo.. wea i dnt even need to speak about.. Kenya tuu wenyewe wanachukiana.. Ukiwapa jirani wataungana kutupiga vita sisi rather than mkamba kumchukia mkikuyu...

IN short hatutaki... we are the blessed ones here... Acheni tujijenge taratibu.. hatuna chakugain from this labda mabasi hayata simama kuchekiwa passport...
 
Ukizungumza bila data ukweli wa mambo utaonekana tu. Mwandishi atatoa mifano ya jumuia zingine na kuonyesha kwa nini mataifa madogo
yamefaidika na kujiunga na mataifa makubwa.

Data zinaonyesha kuwa nchi za jumuia hizo zenye uchumi mzuri zinasaidia kibajeti nchi zenye uchumi mdogo. Ukichukua NAFTA, US inazaidia Mexico kiuchumi.
Ukichukua EU, Slovakia inasaidiwa na nchi zilizoendelea.

Kwa upande wa EA, ni kweli Kenya ina uchumi mzuri kuliko Uganda na Tanzania. Lakini Kenya ni nchi inayotegemea misaada kutoka nje kama Tanzania.

Wakenya wanaofanya kazi Tanzania ni wafanyakazi tu lakini hawana expertise ambayo haiwezi kupatikana Tanzania.

Nchi za EA ni zenye migogoro mikubwa. Pamoja na umasikini wetu, kujiunga na nchi zenye migogoro kutawafanya watanzania kuwa ni nchi ya kulinda amani nchi zingine.
 
..siungi mkono muungano wa Afrika Mashariki.

..lakini nadhani Tanzania tunaelekea kwa kasi kubwa kwenye ukabila na udini.

..tusipojihadhari tunaweza kuwa na hali mbaya sana kijamii kuliko Kenya,Uganda, na hata Rwanda.
 

Lakini tunatakiwa tutambue kuwa tumeikalia mali lakini haitusaidii chochote, na wenzetu majirani wanatuona wajinga kwa sababu tuna mali lakini bado ni maskini. Hizo statistics ziko kwenye vitabu tu, in reality hazionekani kwenye maisha ya watu. At least kwa Kenya zinaweza kuonekana kwenye maisha ya watu. Tunawalaumu walowezi wakati mafisadi wakubwa na wanaotukwamisha ni hawahawa wa kwetu ambao wameanza kufikishwa mahakamani, kwa kutoa sera mbaya na kuruhusu wezi waibie madini yetu. Mimi ningekuwa Mkenya ningewabembeleza sana watanzania ili kuwe na hili shirikisho, wakenya wanajua kuwa watavuna sana. Hii ni changamoto kwetu wabongo.
 
Uganda asked to re-think EAC deal


Kampala

Uganda could emerge the biggest loser in the second integration of East African community if it does not position itself well to take advantage of the current discussions, an official negotiating the East African Community common market has said.

Mr Walusimbi said this while presenting a paper on challenges of the East African Integration to participants at the 13th annual Institute of Certified Public Accountants of Uganda (ICPAU) Seminar in Entebbe, on October 22.

Mr George Walusimbi, the Chief Executive Officer of Uganda Services Exporters’ Association who also represents Uganda on the high level task force negotiating the East African community common market said Uganda needs to appreciate what it wants to get from the community before signing the final agreement.

The complete formation of the East African Community is set to be attained in 2013 and there after, a political federation. Uganda’s agenda in the re-integration has tended to be more politically than economically inclined.

“Uganda needs to rethink its strategy, (since) in the long term it has the most to benefit from the economic dividends of this integration,” he said. He added that the Private sector in Tanzania thinks more than the political side and that could explain why the second headquarter of the bloc is coming up in Arusha.
Duh nilikuwa nafikiri ni watz tu.

source daily monitor
 
Ab-Tichaz, Rev. Kishoka na Wengine,

Mmenifariji big time katika hoja zenu kuhusiana na topic hii, Ukweli ni kuwa article ya Gitau Warigi inaoyesha wivu zaidi ya nguvu ya hoja. For all those years ever since they(KIKUYUZ) via NJONJO walipovunja the Real East African Community, we have survived as a nation through hard times and good times. Kama kweli Warigi anoana kuwa we are "dirt poor" as he calls us , What is the big deal, waendelee na Museveni na Kagame, ilimradi wasije chinjana kama South Africa. Attitude hii hii aginst TZ imeonyeshwa na Zimbababwe, kisha S. Africa, lakini hiyo integration yao matokeo yake si yanafahamika.

Warigi aseme tu wazi , ARDHI is the ISSUE here. Its not the bloody integration. Wanyarwanda wanachopigania hakieleweki eti Wengine ni wahutu wengine watusi, Waganda nao Baganad nad the rest ,Kenya its a hell lot of a mess. Kikuyu attitudes are all over. Yule Bwana Mdogo press secretary wa kibaki aliwahi kumuita Obama jus a Junior Senator from the US , Obama alipowapasha kuhusu Rushwa inchini humo , Leo eti wana-declare Public hliday kusherekea Ushindi wake. Mimi nilidhani wao they are so indispensable kiasi kwamba they know all, have all, and care less about nchi masikini na Tajiri.

As long as some of us we will still be alive. Federation/FEDERO/ Community ni ujinga ambao tutaupiga vita milele especially if it seeks to give free access to our land to KENYANS
 

Mpendakwao,

hapa umesema vizuri kabisa! ni kweli wakenya wanachofuata ni ardhi tu na pengine ajira. kama uchumi wa Tanzania kama anavyosema huyo mungiki ni fraction of Kenya's econony, and if Tanzania is 'dirt poor' then, what the hell do they want with us? why do they want to push us so quicky? I commend all those Tanzanians in the negotiation team for standing firm and defending our position. I promise you, tukiingia kichwa kichwa, the same mungikis will be laughing at us kwamba sisi ni slow wa kufikiri na ndio maana tumesign bila kutafakari. Bravo Tanzanian team!
 
What makes Kenya so pushy towards Tanzania and noisier on this integration than other partners in East Africa? Has Kenya forgotten that they teared down the then EAC and celebrated heavily for "that acheivement?" What makes the current EAC integration more attractive than the one they smashed into pieces 30 years ago?


Here is my message to all pushy Kenyans dreaming of another easy ride on the so called "EAC integration:"

Keep your Kenya and we will keep our Tanzania: period.
 


Kuna jamaa nimewahi kuonana nae LA ana demu wa ki-Kenya, inawezekana ndo mshikaji....si unajua tena kumpigia chapuo missus!!
 
Originally Posted by Koba
....your type mpo wengi na ndio mwanzo wa matatizo yote!





Nimekwambia jamaa ana demu wa ki-Kenya ndio maana sound nyingi!
 
Plan to Integrate Bourses Despite Hesitant Tanzania
By: Charles Wachira
Source: Inter Press Service News Agency
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…