Tanzania is proving to be a liability in EA integration

Tanzania is proving to be a liability in EA integration

Nyerere alikuwa tayari kuchelewesha UHURU wa Tanganyika ili Afrika Mashariki ipate uhuru kama nchi moja. Was HE wrong?

Kuna wakati ilikuwa fashion Tanzania kuita Kenya NYANG'AU. Naona OKON bado anapenda kuwaita hivyo.

Kuna hasara gani kwa mtu mwenye shilingi mia mbili kuanza biashara na mtu mwenye shilingi mia tatu? Ni busara kusema subiri mpaka nami nipate shilingi mia tatu ndio tushirikiane?

Tukishirikiana si lazima tukubali ardhi yetu iwe ardhi ya kila mwananchi wa Afrika ya Mashariki. Kwanza ni vema vijiji vyote viandikishe ardhi yao sasa. Ardhi ni mali. Hakupashwi kuweko na ardhi isiyo na mwenyewe. Tukiungana, thamani ya ardhi yetu itapanda mara dufu. Yaani tutakuwa matajiri wa ardhi. Kuna mbaya gani hapo? Akiitaka mtu itabidi ailipie sana sana.

Kuna hasara gani kuwa taifa moja kubwa badala ya kuwa mataifa matano madogo yanayodharauliwa? Tusioneane wivu. Tuungane sasa. Kwenye hili, tuache Uswahili.
 
Tanzania si kenya.Na sasa tumekataa.Wanafikiri ni watanzania wote hatujui kinachoendelea?Tunajua wanachotaka na kwetu hawakipati.
Sio kweli kuwa wakenya wanawadharau watanzania ila watanzania wanajidharau wenye na hata kwa mataifa mengine.Na ni serikali ndiyo inayowasaidia hao wageni.Na hii inatokea TZ tu.Mimi nimefanya kazi na wakenya nje lakini walichemsha na niliwaachambali kwani mwajiri wetu alikuwa anaangalia tu -Qualification za mtu-experience na performance.
Lakini hapa Tz tofauti-Can you believe this-Geologist mtanzania na masters yake na experience ya more than ten years anapata take home ya Tsh USD 2000 wakati mughana mwenye sifa hizozo anapata USD 8500.Sasa kwanini mughana asimudharau huyo Geo mtanzania?Na wakenya ndivyo hivyohivyo.

KENYA HAKUNA LOLOTE

Wakenya hawana lolote wasitubabaishe hapa, watakacholeta hapa kwetu kama wakija ni ukabila uliokithiri tu, isitoshe hao wachache wanofanya kazi nchini mwetu waajiri wanawapa vichwa sana, hata kama wanaelimu sawa nasisi wanalipwa mishahara mikubwa kuliko sisi na wanapewa vyeo bila sababu. Anayebisha afanye uchunguzi kampuni zote ambazo zina mchanganyiko wa wakenya na watanzania akianzia na GIMCO AFRICA (ni real property management company ipo Dar)
Hata Tz kuna ukabila lakini sio ule wa Kenya, kule ili upate nafasi ya kusoma nje (kwa nafasi ambazo ruhusa ya aina moja au nyingine inahitajika) lazima uwe Mkikuyu au Mjaluo, ili upate kazi serikalini hivyo hivyo, kila kitu ukabila tuuuuuuuuu! Halafu mara zote wanajisikia sana na wana-tendency ya kuwadharau Watanzania. Nadhani makala iliyoanzisha mjadala huu inajieleza. Tusitegemee eti Mkenya atakuja kuwekeza Tz halafu eti atamwajiri Mtanzania, hiyo ni ndoto. Mimi nasoma nao (huku Ulaya) na darasani wapo watano, hawapatani kwa sababu ni makabila tofauti wanaishia kujipachika kwetu watanzania ili wapate kampani kwa sababu wanaona sisi tunapendana na tunaishi kama ndugu. Halafu eti wanashangaa tunawezaje kuishi hivyo.
Anyway, ukiachalia mbali hayo yooooote ninachotaka kusema ni kuwa hakuna tunachohitaji kutoka kwao. Hatuhitaji ujuzi wao wala hatuhitaji kufanya biashara nao, kwanini tujiunge nao? Bora hata tuanzishe ka-federation ketu tukaite East Coast Team (kama jina east african federation lina copyright ya Wakenya) amini nawaambia tutapata washirika wakumwaga. Hizi zote burundi, rwanda, zambia, uganda, etc zitajiunga. Kama hawanunui bidhaa za tanzania, hawaajiri wa tanzania, unadhani neno federation tu litabadilisha msimamo wao, thubutu.
Kama mtu angetaka wazo langu kama TZ ijiunge na wakenya au isijiunge, jibu ni NO KUBWA!!!!!! HATUNA CHA KUPOTEZA KWA KUTOUNGANA NAO wala HATUNA CHAKU- GAIN TUKIWA NAO, full stop.
Wanachotaka kujiungia TZ ni kuja kuchuma tu na kuondoka zao. Kwao wameporana vimeisha. Ndio maana vitu vingi tu vya Tanzania huku ulaya wamevitangaza vipo kenya, mfano Mlima kilimanjaro, kuna vijamaa unakikuta live kabisa kinaongea na mtu huku kinamwambia mlima upo kenya ila kivuli kipo tanzania? can u imagine?
Hata nyimbo za wasanii wetu wanazitangaza ni za wakenya. Unamkuta DJ disko anatangaza kwamba sasa hivi anaenda kucheza kibao kizuri sana cha msanii kutoka kenya halafu anapiga wimbo wa AY!!!!!!!

Vitu vingine wanavyoringia hata havina maana, eti hela yao iko juu! iko juu my foot!!! China ina uchumi unaotisha duniani lakini hela yao hailingani na pound, nini pound bwana hata dola tu!

Mtu anayesema eti Tanzania wavivu ndio maana wakenya wanatuzidi kufanya kazi ni mvivu yeye, kila siku watu wanafanya makazi yasiyoisha mpaka usiku halafu anasema wavivu, ebo!

Ili tujiunge nao labda
1. Waache tabia ya kudharau watanzania ili tuwe na uhakika kuwa hakutakuwa na ubaguzi kwenye mambo mbalimbali (kama wanatuzidi kitu ni kiingereza tu, lugha ambayo wala hata sio yao). Tulionao madarasani huku tunawapiga bao tu kama issue ni marks, inamaana kiingereza hakiwasaidii.

2. Watanzania wachache wanaodhani wakenya ni bora waondoe mawazo hayo, kwa sababu hawana ubora wowote ndio maana wanataka sana kuungana na Watz, na kwao wana matatizo ya kufa mtu. The worst slum in the world ipo Nairobi inaitwa Kibera.

3. (Sharti gumu kuliko yote) Waache ukabila, waunde udugu kati ya makabila yao kwanza. Labda wajiunge/waichukue Tarime tu ndo waunde federation.

4. Suala la rais wetu kusafiri ni letu kinchowauma ni viongozi wetu kutokwenda kutembea kenya mara kwa mara, hata kama viongozi wetu ni wapuuzi lakini wana akili walau ya kujua kuwa kenya hakuna chaku-gain, sasa wakafanye nini kule?

NACONCLUDE SASA
Nakuabaliana na wote waliosema Tz inahitaji muda kabla haijajiunga na tribalists wale. Mpaka tuwe wabinafsi kama wao, wakabila kama wao, wenye roho mbaya kama wao, wabaguzi kama wao, na wenye dharau kama wao.
 
Nyerere alikuwa tayari kuchelewesha UHURU wa Tanganyika ili Afrika Mashariki ipate uhuru kama nchi moja. Was HE wrong?

Kuna wakati ilikuwa fashion Tanzania kuita Kenya NYANG’AU. Naona OKON bado anapenda kuwaita hivyo.

Kuna hasara gani kwa mtu mwenye shilingi mia mbili kuanza biashara na mtu mwenye shilingi mia tatu? Ni busara kusema subiri mpaka nami nipate shilingi mia tatu ndio tushirikiane?

Tukishirikiana si lazima tukubali ardhi yetu iwe ardhi ya kila mwananchi wa Afrika ya Mashariki. Kwanza ni vema vijiji vyote viandikishe ardhi yao sasa. Ardhi ni mali. Hakupashwi kuweko na ardhi isiyo na mwenyewe. Tukiungana, thamani ya ardhi yetu itapanda mara dufu. Yaani tutakuwa matajiri wa ardhi. Kuna mbaya gani hapo? Akiitaka mtu itabidi ailipie sana sana.

Kuna hasara gani kuwa taifa moja kubwa badala ya kuwa mataifa matano madogo yanayodharauliwa? Tusioneane wivu. Tuungane sasa. Kwenye hili, tuache Uswahili.

Uswahili gani unaouzungumzia? na kwenye nini tumefanya uswahili? by the way, what is uswahili?
Augustin, Mataifa huwa hayaungani tu kiholela. Kuna vitu vya msingi huwa ni muhimu kuweka sawa kabla ya kuingia kwenye muungano. Hicho ndio kinachozungumzwa hapa. Ingekuwa haja ni kuungana tu, mbona tumeungana na nchi 8, je ni kwanini tuzifikirie nchi tulizopakana nazo kaskkazini tu? what about Zambia, Malawi and Mozambique??? kwa kutumia argument yako, je unafikiri ni kwanini Ujerumani na Ufaransa haziungani?
 
Wenzetu wanalalamika kwamba Tanzania imekuwa kikwazo lakini ukweli uko wazi wakenya,waganda,warundi na wanyaruanda wanahitaji ardhi ya Tanzania kwa udi na uvumba.Tanzania{wizara ya EAC} mpaka sasa hatujafanya juhudi zozote kuwaelimisha wananchi athari na faida zipatikanazo katika shirikisho.Hakuna ubishi kwamba ajira ni eneo ambalo Tanzania inatakiwa kulifanyia kazi,mtaala wa elimu ya nchi wanachama unatakiwa uwe mmoja kabla ya kuruhusu wananchi wa nchi wanachama kufanyakazi sehemu yoyote ya EAC .Vitambulisho vya uraia vitolewe haraka kwani mpaka sasa Tanzania ni nchi pekee katika EAC ambayo raia wake hawana vitambulisho.
Kenya wanahitaji kujua kwamba hii si ile Tanzania ya mwaka 47,tunajua kwa uhakika ni kwanini wanatakuharakisha tuingie kichwa kichwa !!!!!!!!!!.
 
Tanzania should stay clear and away from these vultures! It is obvious that Kenya, Uganda and the tiny Rwanda and burundi are eyeing Tanzania with a LOT OF LUST....Lust for our land, jobs and opportunities! The simple truth is...We don't need them, but..oh yes, they do need us, big time!

If they see us, Tanzanians as an obstacle, then by all means they should go ahead and form their own clan! Have you ever stopped to think, my Tanzanian brothers and sisters, what we get from kenya, Uganda or Burundi? Nothing much, right? How many Tanzanian products are in Kenya? Not much...nothing really! But Kenyan products are all over Tanzania! Rwandan and Burundian refugees are on the TZ border, only increasing the crime rate and poverty!

Let me cite only one example...we all know that "Tanzanite" is found only in Tanzania right? But do you realize that Tanzanite is sold out there in the world market as coming from kenya?

The bottom line is this...We don't need this union. It didn't benefit us before (and funny enough, Kenya was the one who broke the first EAC), and it will not benefit us tofay! If anything, Tanzania should look at the bigger picture...and YES, associations such as SADC are more beneficial than this petty association with our sworn enemies!

Kenyans have no respect for Tanzanians (their problem really) and they won't start that when and if we associate with them. Kenyans think that they are bringing skills to Tanzania? Hah! These loosers should think again! Kenyans are big opportunists, and even bigger vultures that Tanzania should stay clear away from!
 
....seems wengi hawataki huu ushirikiano lakini ukiangalia vizuri ni kutokuelewa na arrogance ya hali ya juu ambayo haina maana yoyote,ardhi ya tanzania itabaki ya Tanzania tuu na sijui hiyo idea ya wakenya kuja kuchukua ardhi yetu imetoka wapi? na sijui kama ni kweli wao wanatuhitaji kuliko tunavyowahitaji,sitashangaa nchi zote zikihamishia cargo Mombasa,tutaambulia heavy taxes kutoka nchi zote hizo tukitaka kufanya nao biashara na bureaucracy ya hali ya juu...well,nafikiri wata move on bila sisi maana wenzetu wameshaona arrogance yetu na ukweli hatuna chochote cha kuwazidi...ngoja wenzetu waendelee kuweka mambo sawa na ushirikiano katika Biashara,education,miundo mbinu,technology,security etc na sisi tuendelee na arrogance yetu ya wanataka ardhi yetu or we have this and that,nawashauri wakenya na wengine wafanye muungano wao waachane na ujinga wa watu wasio elewa maana ya ushirikiano!
 
Actually who needs this integration? For what? I participated in one of the EAC sensitisation seminars in Dodoma and it was quite clear we dont need this thing. If it is too difficult to travelling from Iringa to Kigoma, why should one be interested in travelling to Bukavu or Mogadishu (the two, DRC and Somalia are likely near-future candidate members of the Cooperation/(corporation???). Unless we work to improve our local eanabling environment (miundomibinu), less people need the EAC (probably only those who can fly). Additionally, making movements too easy (just a simple ID) will endenger our long secured security. Imagine a Somali pirate (near-future members of EAC) holding and ID to pirate our harbour?? So, there is still a lot of logic of controlling movements at least through the use of relatively costly papers (it costs Tsh 50,000 to secure a passport in Tanzania) so that a foreign criminal will have to bear additional cost in entering our boarder (I'm told it costs equivalent of Tsh 5000 to buy a gun in Somalia.
 
This East African Federation thing is a sham. It is breaking up before it can even start.

You don’t have to look further to know why. Tanzania lost big time in the wake of the EAC collapse. While Tanzania was counting losses, Kenya (and Uganda? I don't think so)was smiling, what you see as Kenya Airways today took off from East African Airways of whatever name that was. This is just one example of a shoddy alliance.

The Tanzania of today is more mature, you can't drag us anymore. You may hear of all the slow-motion politics in TZ but that's us. When it comes to geopolitical issues you can't fool us no more. The strategy in TZ at the moment is build the country... soon the road network in TZ will be like no other in EA (I am told there is only one road in Kenya, and Uganda); cities are cropping up like mushrooms; the middle class is growing, albeit slow...

You will soon have to bear with the sleeping giant. We are restoring our brand on tourism so you can no longer fool the world of our exotic attractions, as you continue to pouch yours.

And the people have spoken. They realise this is not something to be rushed at, there are milestones as a country we have to cross, before we could again, start thinking of mergers/unions/federations...

And this is a fact. Without Tanzania, there wouldn't be an East African thing. You have been trying to do this on our backs. We say go ahead, just don't come beg us when things go south.

It turns out; every one's got their eyes fixed on the grand prize: Tanzania.

Thubutu.
 
....seems wengi hawataki huu ushirikiano lakini ukiangalia vizuri ni kutokuelewa na arrogance ya hali ya juu ambayo haina maana yoyote,ardhi ya tanzania itabaki ya Tanzania tuu na sijui hiyo idea ya wakenya kuja kuchukua ardhi yetu imetoka wapi? na sijui kama ni kweli wao wanatuhitaji kuliko tunavyowahitaji,sitashangaa nchi zote zikihamishia cargo Mombasa,tutaambulia heavy taxes kutoka nchi zote hizo tukitaka kufanya nao biashara na bureaucracy ya hali ya juu...well,nafikiri wata move on bila sisi maana wenzetu wameshaona arrogance yetu na ukweli hatuna chochote cha kuwazidi...ngoja wenzetu waendelee kuweka mambo sawa na ushirikiano katika Biashara,education,miundo mbinu,technology,security etc na sisi tuendelee na arrogance yetu ya wanataka ardhi yetu or we have this and that,nawashauri wakenya na wengine wafanye muungano wao waachane na ujinga wa watu wasio elewa maana ya ushirikiano!

LAND IS EVERYTHING. I don't think some of us realize this land issue....With the current land laws, any tom, dick and harry off the union can come here and aquire land...free of charge. How would you like to see your ancestry land (unnocupied, as most land in TZ is at the moment) in your hometown and/or village be owned by a kenyan, Somali or Tutsi? Bring their culture into our country? These people are consumed by rudeness, tribalism, racial/ethnic divides, and yes...GENOCIDE! and much more! Tanzania has no history of any of that, and it shouldn't be written history in the 21st Century. Would any Tanzanian like this kind of garbage at their backyard? I know I wouldn't. We may remain friends and neighbors, but we simply cannot share our heritage with these people, especially our motherland!
 
The journey to the federation needs to be deliberately carried out, and without careless haste. The interests of all member states must be clearly protected. It just happens that for us Tanzanians, our security precedes the need for a Federation. The fact is that we a surrounded with overly corrupt neighbors, particularly Kenya on the north.If we move in haste and allow people to cross our borders with just Ids, it will be in a way providing free access of somali terrorists into our country.Aren't your ids for sale anyway? I wonder how much your passport costs nowadays.

Similarly be under no illussion that Tanzania economy is 'just a fraction, of that of Kenya. Which data are you using? Is it the one with your unemployment standing at over 43%. I think careful analysis of data will prove that our economies are almost at par, with Tanzania's growth slightly at an edge over yours. So stop making accusation that are with ground, and lets have a debate.
 
LAND IS EVERYTHING. I don't think some of us realize this land issue....With the current land laws, any tom, dick and harry off the union can come here and aquire land...free of charge. How would you like to see your ancestry land (unnocupied, as most land in TZ is at the moment) in your hometown and/or village be owned by a kenyan, Somali or Tutsi? Bring their culture into our country? These people are consumed by rudeness, tribalism, racial/ethnic divides, and yes...GENOCIDE! and much more! Tanzania has no history of any of that, and it shouldn't be written history in the 21st Century. Would any Tanzanian like this kind of garbage at their backyard? I know I wouldn't. We may remain friends and neighbors, but we simply cannot share our heritage with these people, especially our motherland!

....huna idea zaidi ya fear spreading!
 
Here I choose to diasgree with you,

For me as mentioned by EA Minister, the biggest problems of Tanzania are movement by using ID and land ownership.

Do you know that it is not easy for Kenyan to travel from Nairobi to Ethiopian and Somali borders? Those part of kenya the insecurity is high and if you want to go there you should have drums of water to bribe rebels before they can let you pass. You people, you are being deceived by Kenya represented by Nairobi, Mombasa, Nakuru and Njiru, to be specific central Kenya and Western and bite of South because of tourism. Kenyan have abondoned Lokichoki, Lokitang, Ramu, Loboi, Lodwar etc. Do you know these towns? They do exists and find out what is going there. And they represent big part of Kenya.

They say charity begins at home, For Kenyan, the free movement should start in their own country. They should first start moving freely to their northern, Eastern etc regions, before considering coming to sourthen part of Tanzania.

Be advised that those who are behind this EA free movement are those who grubbed Kenyan land. They want to extend to Tanzania.

Kwa ruhusa yako, naomba ni-copy na kuitundika kwenye nation readers' digest column. Kwa ruhusa. Maana umemwaga kila kitu ambacho roho im ekuwa ikinikereketa toka juzi baada ya kusoma huu uchafu!! Kwa wale tuliokwenda na kuishi Kenya kwa kweli inatupa picha kuwa Nairobians ni kama Cape Townian. Hawajui kiwngine zaidi ya pale walipo.
 
....huna idea zaidi ya fear spreading!

Excuse me...who are you to even suggest that I have no idea? Give a break! I know what I know and I am simply calling "a spade a spade"! I have no hidden agenda other than to protect my country and what is rightfully Tanzanian.

Maybe we should ask who you really are...are you really a Tanzanian? Fear spreading? Where were you when the Hutu/Tutsi genocide took place? Would you like that to happen in Tanzania? Because it's already started in Kabila's country (started with a simple immigrant occupying land in Congo, and look what's happenign now...), and it could happen in Tanzania!

If you are a Kenyan, Ugandan or some other person other than a Tanzanian, then I might understand, but don't tell me that our land will be safe when we all come together as one big happy family!
 
....your type mpo wengi na ndio mwanzo wa matatizo yote!
 
Kila mmoja atatue matatizo yake kwanza alafu baadaye tutaungana tu. Sio kwamba ujirani wetu utaisha leo wala kesho. Kwa hiyo pengine haraka haraka kwa hili inaweza kukosa baraka ikaleta musheli kidogo.

Kenya wenyewe wanachomana moto kuzuiana wasiingiliane kwenye ardhi zao. Sasa watanzania wataenda kule kukaa wapi? Wenyewe kwa wenyewe tu hawatakani, sasa hao Waganda na wa TZ wataenda kaa wapi ndani ya kenya?

Uganda mpaka sasa hawajamalizana na Kony.

Labda kama wanataka ikitokea matatizo kwao iwe rahisi ku mwagika TZ kirahisi. La sivyo hainiingii akilini. Watakauwa wanachinjana huko halafu wakimbizane TZ.

Kuna mtu humu ameongea neno la maana sana: kama Kenya yenyewe na Uganda (kaskazini) hakuna free movement of pp, wanataka Tanzania iwasaidieje?
 
....your type mpo wengi na ndio mwanzo wa matatizo yote!

Mwanzo wa matatizo gani? Are you telling me that coming together with these hooligans will bring milk and honey to Tanzania? or will it DRAIN AWAY all the milk and honey from Tanzania???

I think PEOPLE LIKE YOU are immature and somewhat reduntant to Tanzania. You are clearly not a Tanzanian! You must be from Kisumu, Kericho or whatever, so my advise to you is...Get yourself a life!
 
The misleading part of this article is when it suggests that Tanzania doesn't want integration or co-operation with other EA countries. The truth is Tanzania doesn't agree with the terms of co-operation as they are in the existing portfolio. The writer seems to be trying to outrage Tanzanian nationals rather than discussing the matter.

This article is very misleading. First of all Tanzania recommended that to avoid costs about creating east african identity cards we should continue using our current passports until a later time when the issue of identity cards is better resolved by all member states. As it is right now not all EA countries have identity cards but all have passports which are currently being used.

Also, Tanzania utterly dismissed the issue of land ownership to foreigners! That is a no-no!!!I agree!!!

Also, the article has a Kenyan slant to it - Rwanda has opened up employment to all EAcans and not only to Kenyans as the article seems to indicate! Shame on the author!

Frankly speaking, I am personally opposed of the EA Federation thing, but hey, that's just me, entitled to my opinion, don't you think?
 
I gree kuwa Tanzania imekua kikwazo kwa kuunganisha Jumuiya ya Afrika Mashariki. Why?

................

..............

Third Tanzania with out solving Zanzibar (union problem )will not get any where in East African community.

Forth CCM it doesnt include all wadau in clude allpolitical parties and civil society on making umazi juu ya EAC.

Fifth corruption in the ruling party( CCM) is a huge problem for the delvelopment of Tanzania is un controlobale any more.

Sixth many Tanzanian worried about Brother Museveni ambition he want to get his dream job first East African President for life never retire no way ?
.........

First, what Union problem? Besides Mizengo Pinda said kwanza hiyo Zanzibar sio nchi - I rest my case!

Second, what does CCM has to do with the EAC issue? Didn't serikali ya awamu ya nne go around the whole country asking for wananchi's opinion, including asasi zote za na zisizo za kiserikali? If I remember correctly hata vyama vya upinzani took a lot of pot-shots at the Federation thing. Come on now, lay off CCM as this is a non-issue.

Thirdly, corruption is everywhere na hao nchi jirani are not better off than we are! Furthermore, where have you been the last week or so? Isn't the country turning a new leaf when it comes to fighting corruption?

Fourthly, the Museveni thing is purely based on heresay and I personally think its another non issue.

My 2 cents..........
 
Kwa ruhusa yako, naomba ni-copy na kuitundika kwenye nation readers' digest column. Kwa ruhusa. Maana umemwaga kila kitu ambacho roho im ekuwa ikinikereketa toka juzi baada ya kusoma huu uchafu!! Kwa wale tuliokwenda na kuishi Kenya kwa kweli inatupa picha kuwa Nairobians ni kama Cape Townian. Hawajui kiwngine zaidi ya pale walipo.

Mkuu unaruhusiwa go on!

Njimba
 
First, what Union problem? Besides Mizengo Pinda said kwanza hiyo Zanzibar sio nchi - I rest my case!

Second, what does CCM has to do with the EAC issue? Didn't serikali ya awamu ya nne go around the whole country asking for wananchi's opinion, including asasi zote za na zisizo za kiserikali? If I remember correctly hata vyama vya upinzani took a lot of pot-shots at the Federation thing. Come on now, lay off CCM as this is a non-issue.

Thirdly, corruption is everywhere na hao nchi jirani are not better off than we are! Furthermore, where have you been the last week or so? Isn't the country turning a new leaf when it comes to fighting corruption?

Fourthly, the Museveni thing is purely based on heresay and I personally think its another non issue.

My 2 cents..........

Mkuu, ukiangalia ukweli unaweza kuona kuwa Tanzania inafuata sera zinazotekelezwa CCM, na ukiangalia kwa undani utaona kuwa CCM ina sera yake kuhusu mambo ya ushirikiano wa kimataifa. Kwa hiyo hatuwezi kukwepa kuwa CCM has a hand in this. Na kama unavyojua sasa hivi chama chetu hakina mahali kinakotupeleka ndio maana hata hawa wenzetu amjirani wanatuvuta kwenye huu ushirikiano. kama chama chetu kingekuwa na mwelekeo uliowazi, unatekelezeka na wa muda mrefu, basi bila shaka jibu la swali kuhusu twende au tusiende lingekuwa wazi kabisa. Tatizo liko kwenye chama chetu, let us face it.
 
Back
Top Bottom