pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Wanariadha wa Kenya kibao wanafanya doping
IAAF, IOC na wengineo wameamua kukomaa na Wakenya.
Kilichowazuia kufanya 'doping' ni nini?Angalau mngefanya 'doping' tulipowai nambari moja duniani kule beijing,uchina na nyie jirani zetu mngewai ata nambari 25 na kamedali kamoja ivi au hata mfanye 'technichal appearance' tu bila hata kushiriki mbio zozote!Sasa hata beijing hamkujua mtafika vipi mlibaki kutafta daladala za kuwafikisha huko!Aibu tupu!