pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Wanariadha wa Kenya kibao wanafanya doping
IAAF, IOC na wengineo wameamua kukomaa na Wakenya.
So the commentators on super sport trying to console Tanzania
This is not gonna be their worst loss
Kenya beat Tanzania 9-0 in (1956)
Now
Algeria beating Tanzania today 7-0 (2015)
Wooow
What did Kenya won after beating Tz 9 - 0 world cup? Au wote tupo pamoja third world......
Kawaida tu!
Tunaongelea michezo nadhani au?Lakini hata hivyo 'third world' unayosema tulihama zamani,sasa tunajulikana kama 'middle income economy'.Kwa michezo nayo sijui tutajiita vipi maanake riadha nambari moja duniani(beijing 2015)raga namba sita duniani (irb ranking)voliboli kwa wanawake bingwa afrika na mengine mengi sasa sijui utaniambia zipi za tz?
Wewee mutu ya Kenya, striker atafungaje goli nje (score outside)? It doesn't make sense, does it ?How did that Tanzanian miss that he had gone past the keeper he was alone with the goal post alafu anafunga nje'
91'
I can see you beating cape verde and progressing to the group stages.
Oh and BTW theres no way I see you profiting from the 1.15 Algeria odds.
:lol: :lol:
What did Kenya won after beating Tz 9 - 0 world cup? Au wote tupo pamoja third world......
Hehehehe!! nishawaambia mara nyingi Wabongo hampo tayari kwa mambo ya kimataifa/globalisation. Mbakie humo humo Bongo na mambo ya Simba vs Yanga na viduku usiku.
Hii aibu mjifiche mvunguni, ama mfute kama mlivyofanya uchaguzi wa Zanzibar
msemakweli MOTOCHINI kadoda11
I can see you beating cape verde and progressing to the group stages.
Oh and BTW theres no way I see you profiting from the 1.15 Algeria odds.
:lol: :lol:
Kenya is no longer classified as a third world mkuu
But Tanzania is classified in that category pole we are not really in the same league anymore
Further more we are talking about football
Eti wanaiomba TFF iahirishe matokeo ya mechi kama walivyofanya uchaguzi wa rais znzHehehehe!! nishawaambia mara nyingi Wabongo hampo tayari kwa mambo ya kimataifa/globalisation. Mbakie humo humo Bongo na mambo ya Simba vs Yanga na viduku usiku.
Hii aibu mjifiche mvunguni, ama mfute kama mlivyofanya uchaguzi wa Zanzibar
msemakweli MOTOCHINI kadoda11
Sawa mkuu looks like nyie wenzetu mtakuwa level za U.S.A na Europe kiuchumi na ki soccer naona mpo level za Brazil Spain au Germany Sam999 kwa level hizo sisi bado tupo nyuma chief.