Kenya lost too, but everybody and their mama knows soccer aint really our forte, we good at almost everything else except that, nyinyi kwa upande mwingine mnapenda sana kabumbu, (simba yanga), but like every other sport in the world, you suck at it. shida ipo wapi mkuu? hio hela ya wizara ya michezo, ipatiwe tu diamond, atleast he is putting in work and putting y'all on the map.
Kejeli za hivi mkijibiwa mnaanza kulialia OK poa Nipo busy Na bunge
MOTOCHINI Kidogo hata kama tulishindwa kufuzu lakini hatukubanduliwa kihivyo, yaani kichapo cha mbwa bila huruma yoyote, te te te, hivi kuna mchezo wowote ule ambao umewahi kupeperusha bendera ya Tanzania kimataifa????
Nimepitia comments za Wabongo kule BBC Facebook yaani vioja hadi raha, wengine wanahoji mbona hamkwenda na wazee wa goli la mkono.
Kidogo sisi hata tukikosa kutamba kwenye mpira tunaongoza dunia kwenye michezo mingine, ni bidii sio uchawi
Algeria ni timu bora....ila kale ka cape verde kasingetusumbua hata kidogo
MOTOCHINI Kidogo hata kama tulishindwa kufuzu lakini hatukubanduliwa kihivyo, yaani kichapo cha mbwa bila huruma yoyote, te te te, hivi kuna mchezo wowote ule ambao umewahi kupeperusha bendera ya Tanzania kimataifa????
Nimepitia comments za Wabongo kule BBC Facebook yaani vioja hadi raha, wengine wanahoji mbona hamkwenda na wazee wa goli la mkono.
Kidogo sisi hata tukikosa kutamba kwenye mpira tunaongoza dunia kwenye michezo mingine, ni bidii sio uchawi
He was a great guy indeed I really idolised the guy when I played rugby in highschool!He alway had a remarkable last run in the pitch.R.I.P.
Sad day for KE. Sad day for TZ. Jonah Lomu and rugby gods...aaaahh i could go on an on all day.
*whisper*You just gave your (ballpark) age away. π