John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
Hyo raslimali itakuwa kikamba hicho.. afu pia .nimekuuliza bandari NI rasilimali unaniletea janjajanja na Mambo ya bahari[emoji3] Ila yote haizuii DRC kuwa nchi yenye rasilimali nyingi Sana hapa Africa ..madini, misitu, ardhi ya rutuba n.k.Katafute nini maana ya neno "raslimali" maana naona unabishia tu bila ufahamu, bahari ya Tanzania imewezesha bandari yenu itegemewe na mataifa tisa.....
Hyo raslimali itakuwa kikamba hicho.. afu pia .nimekuuliza bandari NI rasilimali unaniletea janjajanja na Mambo ya bahari[emoji3] Ila yote haizuii DRC kuwa nchi yenye rasilimali nyingi Sana hapa Africa ..madini, misitu, ardhi ya rutuba n.k.
Ukileta mada, leta na chanzo chake!Serengeti imetangazwa tena kuwa ndio sehemu pekee inayoongoza kwa kuwa mbuga bora duniani.
Baada ya hiyo habari pia nikumbushe CNN walishawahi kuitangaza Tanzania kuwa ndio nchi yenye Beach bora duniani
Jamani Tanzania is beautiful wakenya sijui mnakwama wapi duh View attachment 1845986View attachment 1845987View attachment 1845988View attachment 1845989View attachment 1845990View attachment 1845991View attachment 1845992View attachment 1845993View attachment 1845994
Serengeti imetangazwa tena kuwa ndio sehemu pekee inayoongoza kwa kuwa mbuga bora duniani.
Baada ya hiyo habari pia nikumbushe CNN walishawahi kuitangaza Tanzania kuwa ndio nchi yenye Beach bora duniani
Jamani Tanzania is beautiful wakenya sijui mnakwama wapi duh View attachment 1845986View attachment 1845987View attachment 1845988View attachment 1845989View attachment 1845990View attachment 1845991View attachment 1845992View attachment 1845993View attachment 1845994
Inapendeza sana...
Sure
Nothing beats Tanzania katika vivutio vya utalii hapa Afrika, I think South Africa comes second.
Hamna Kiswahili cha neno raslimali Mzee[emoji1787]..unless ni Kiswahili chenu huko kunya ...we unaezungumza maneno kama Venye, chenyu, sijui nn ndo unifundishe Mimi Kiswahili ???Una uhakika hatujui lugha zetu za asili umetumia criteria gani kusema hvyo??English is just a language kama kizaramo Tu ..mnatukuza wakoloni wenu kama nn yaan [emoji23]Unatia aibu, kwamba haujui nini maana ya neno "raslimali", huwa mpo hovyoo sana kwenye masuala ya lugha, hamjui lugha zenu za asili, pia nacho Kiswahili kinawapiga chenga, halafu Kingereza ndio kilishawakataa....
Haya huu uzi unasema Tanzania ndio bora zaidi kwenye vivutio vya kitalii Afrika, mbona hampo hata kwenye kumi bora kiuchumi hapa Afrika, ukifahamu kuna mataifa yanatumia utalii tu kama kitega uchumi, hayana madini wala nini.
Hamna Kiswahili cha neno raslimali Mzee[emoji1787]..unless ni Kiswahili chenu huko kunya ...we unaezungumza maneno kama Venye, chenyu, sijui nn ndo unifundishe Mimi Kiswahili ???Una uhakika hatujui lugha zetu za asili umetumia criteria gani kusema hvyo??English is just a language kama kizaramo Tu ..mnatukuza wakoloni wenu kama nn yaan [emoji23]