John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
Hyo raslimali itakuwa kikamba hicho.. afu pia .nimekuuliza bandari NI rasilimali unaniletea janjajanja na Mambo ya bahari[emoji3] Ila yote haizuii DRC kuwa nchi yenye rasilimali nyingi Sana hapa Africa ..madini, misitu, ardhi ya rutuba n.k.Katafute nini maana ya neno "raslimali" maana naona unabishia tu bila ufahamu, bahari ya Tanzania imewezesha bandari yenu itegemewe na mataifa tisa.....