Tanzania is to retaliate a maize ban by Kenya

Tanzania is to retaliate a maize ban by Kenya

Youare rhe loosers, nyie mnaitegemea tz kwa mengi kuliko nyie mnavyoitegemea tz, kwanza wakenya millions wapo huju kama cheap labour, niambie watz wangapi wapo kenya
Sasa mbona mnalialia? 🤣 🤣
 
Tanzania haijawahi ipigia magoti kenya ila Kenya imeipigia magoti Tanzania. Soon tutaongeza kwenye orodha incidence ya kenya kuipigia magoti kuonesha unyenyekevu kwa Tanzania. Nitatembelea jukwaa hili mara kwa mara
Kenya hatupigani na ngurue kwa matope, tunawapapasa ili tuwatafune, maboya yanafurahi kijinga and we always win[emoji28][emoji23][emoji23] who benefits more at the end?.,
 
Tuta tuta tuta. Mnangoja nini? Tumechoka kungoja. Si tayari mtupige ban! Au mnatuogopa?
 
Back
Top Bottom