ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Zile Kauli za kijinga za eti tusitumie Madini Hadi vizazi vingine ndio vije kutumia zitakuja kuwaliza watu sio mda.
Toto Russia avamie Ukraine imepatika fursa ya bei ya Makaa ya Mawe kupanda na ni wakati huu wa mpito ambapo Serikali inatakiwa kuweka pesa Kwa Stamico Ili washirikiane na private sekta kuchimba na kuuza Makaa ya Mawe Kwa Wingi na haraka Ili tuvune pesa na kuziwekeza kwenye sekta zingine za Uchumi.
Hii ado ado na Dana Dana za kunidanganya kwamba hayaozi zitakuja kuwaliza siku Moja.
Namibia na Botswana wanalia Kwa sababu tuu Uchumi wao Kwa sehemu kubwa ulikuwa unategemea Madini ya Almasi lakini bahati mbaya au nzuri Teknolojia imekuwa mchawi.
Kwa Sasa bidhaa za Madini ya Almasi zinatengenezwa Maabara hivyo kupoteza kabisa soko la Madini ya Almasi.
Hili la kutegemea aina Moja ya Madini na kujifariji ndilo limeondoa chama Tawala Botswana na lonatoshia kuondoa chama Tawala Namibia vyote ni vya wakongwe na limeondoa chama Tawala South Africa.
Nitoe wito Kwa Serikali kuchaimba Madini yaliyopo Ili tutumie ku diversify uchumi kabla hayajadoda Kwa sababu za Mabadiliko ya Teknolojia.
Madini ambayo Yako Mbioni Kudoda au yamedoda ni
1.Almasi
2.Shaba
3.Tanzanite/Rubi
4.Makaa ya Mawe
5.Mafuta(Crude Oils)
6.Gas (uzalishaji wake ni expensive)
7.Mercury
8.Magadi Soda
My Take
Madini ya uhakika Kwa Sasa ni Dhahabu na critical Minerals,Sikilizeni ushauri wa Prof.Muhonho.
Mwenzako akinyolewa zako tia maji.