Tanzania isipotumia Makaa ya Mawe na Madini mengine Sasa hivi yakiwa na Demand,Yanaweza Kudoda kama Almasi Ilivyowaliza Namibia na Botswana

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Zile Kauli za kijinga za eti tusitumie Madini Hadi vizazi vingine ndio vije kutumia zitakuja kuwaliza watu sio mda.

Toto Russia avamie Ukraine imepatika fursa ya bei ya Makaa ya Mawe kupanda na ni wakati huu wa mpito ambapo Serikali inatakiwa kuweka pesa Kwa Stamico Ili washirikiane na private sekta kuchimba na kuuza Makaa ya Mawe Kwa Wingi na haraka Ili tuvune pesa na kuziwekeza kwenye sekta zingine za Uchumi.

Hii ado ado na Dana Dana za kunidanganya kwamba hayaozi zitakuja kuwaliza siku Moja.

Namibia na Botswana wanalia Kwa sababu tuu Uchumi wao Kwa sehemu kubwa ulikuwa unategemea Madini ya Almasi lakini bahati mbaya au nzuri Teknolojia imekuwa mchawi.

Kwa Sasa bidhaa za Madini ya Almasi zinatengenezwa Maabara hivyo kupoteza kabisa soko la Madini ya Almasi.

Hili la kutegemea aina Moja ya Madini na kujifariji ndilo limeondoa chama Tawala Botswana na lonatoshia kuondoa chama Tawala Namibia vyote ni vya wakongwe na limeondoa chama Tawala South Africa.

Nitoe wito Kwa Serikali kuchaimba Madini yaliyopo Ili tutumie ku diversify uchumi kabla hayajadoda Kwa sababu za Mabadiliko ya Teknolojia.

Madini ambayo Yako Mbioni Kudoda au yamedoda ni

1.Almasi

2.Shaba

3.Tanzanite/Rubi

4.Makaa ya Mawe

5.Mafuta(Crude Oils)

6.Gas (uzalishaji wake ni expensive)

7.Mercury

8.Magadi Soda

My Take
Madini ya uhakika Kwa Sasa ni Dhahabu na critical Minerals,Sikilizeni ushauri wa Prof.Muhonho.

Mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Screenshot_20241117-182407.jpg
 
Makaa ya mawe yanauzwa nje sana, ila biashara yake inaenda kimya kimya sana, kuna jambo.
Kwani biashara inataka makelele? Ya nini?

Haya Anza kupiga kelele basi 😁😁

Mwisho kama umeelewa.mada nimekwambia tangu vita ya Ukraine vs Russia ianze ndio biashara ya Makaa iliongezeka baada ya Wazungu kuweka vikwazo Mafuta na gesi ya Russia walipunguza matumizi ilimkumkomoa Russia so wakaingeza kutumia Nishati chafu ya Makaa.

So kipindi hicho yanatakiwa yauzwe mengi kadiri iwezekanavyo kabla hayajadoda.
 
Watanzania wajinga sana lakini siyo wote umetoa ushauri mzuri sana kulingana na kukua kwa technologia
 
Shaba haitakuja kudoda kamwe wachina,wahindi,wazungu wamejaa huko Zambia na DRC wakichimba shaba
Unaongea usichokijua.Uliza bei ya shamba 2017 na Sasa ikoje.

Bei inazidi kuporomoka na ndio sababu Zambia ilishindwa kulipa madeni yake Hadi pesa yake kuporomoka na Hali ngumu ya maisha Kwa sababu hizi hizo.

Aidha Zambia imeamua kufanya uzalishaji wa shamba mara 2 Hadi kufikia 2029-30 Kwa sababu hizi hizo za kuyauza Kwa Wingi Sasa hivi yakiwa Bado yanauzika japo Kwa bei ya chini kuliko kuja kula hasara mazima.

Endelea kujiaminisha ujinga.

View: https://x.com/mining/status/1856377811377987913?t=-AnTrqUrq4QiZGzO17GqIw&s=19
 
Zile Kauli za kijinga za eti tusitumie Madini Hadi vizazi vingine ndio vije kutumia zitakuja kuwaliza watu sio mda.

Toto Russia avamie Ukraine imepatika fursa ya bei ya Makaa ya Mawe kupanda na ni wakati huu wa mpito ambapo Serikali inatakiwa kuweka pesa Kwa Stamico Ili washirikiane na private sekta kuchimba na kuuza Makaa ya Mawe Kwa Wingi na haraka Ili tuvune pesa na kuziwekeza kwenye sekta zingine za Uchumi.

Hii ado ado na Dana Dana za kunidanganya kwamba hayaozi zitakuja kuwaliza siku Moja.

Namibia na Botswana wanalia Kwa sababu tuu Uchumi wao Kwa sehemu kubwa ulikuwa unategemea Madini ya Almasi lakini bahati mbaya au nzuri Teknolojia imekuwa mchawi.

Kwa Sasa bidhaa za Madini ya Almasi zinatengenezwa Maabara hivyo kupoteza kabisa soko la Madini ya Almasi.

Hili la kutegemea aina Moja ya Madini na kujifariji ndilo limeondoa chama Tawala Botswana na lonatoshia kuondoa chama Tawala Namibia vyote ni vya wakongwe na limeondoa chama Tawala South Africa.

Nitoe wito Kwa Serikali kuchaimba Madini yaliyopo Ili tutumie ku diversify uchumi kabla hayajadoda Kwa sababu za Mabadiliko ya Teknolojia.

Madini ambayo Yako Mbioni Kudoda au yamedoda ni

1.Almasi

2.Shaba

3.Tanzanite/Rubi

4.Makaa ya Mawe

5.Mafuta(Crude Oils)

6.Gas (uzalishaji wake ni expensive)

7.Mercury

8.Magadi Soda

My Take
Madini ya uhakika Kwa Sasa ni Dhahabu na critical Minerals,Sikilizeni ushauri wa Prof.Muhonho.

Mwenzako akinyolewa zako tia maji.
View attachment 3154749
Makaa ya mawe yanatoka kusini na kupitia Tarakea kwenda Kenya kila saa yanapita malori angalau matano. Ukiambiwa bei ya tani moja ya makaa hayo utagundua kuwa ni afadhali mara kumi tungeyatumia hapa nyumbani kupikia au kuzalisha umeme. Kuna wakubwa wananufaika.
 
Makaa ya mawe yanatoka kusini na kupitia Tarakea kwenda Kenya kila saa yanapita malori angalau matatizo. Ukiambiwa bei ya tani moja ya makaa hayo utagundua kuwa ni afadhali mara kumi tungeyatumia hapa nyumbani kupikia au kuzalisha umeme. Kuna wakubwa wananufaika.
Umeme upo wa Maji bei nafuu kushinda Makaa.

Mchkato wa kuyageuza kuwa Nishati safi ni process

Kwa mantiki hiyo Bora yauzwe.Huko Kwenye yananunuliwa kiduchu tuu ila bandarini Mtwara Kuna msururu wa malori.

Hiyo bei unayodai ni ndogo Kwa Sasa ndio Imepanda yaani ilikuwa chini ya hapo kabla ya vita.
 
Zile Kauli za kijinga za eti tusitumie Madini Hadi vizazi vingine ndio vije kutumia zitakuja kuwaliza watu sio mda.

Toto Russia avamie Ukraine imepatika fursa ya bei ya Makaa ya Mawe kupanda na ni wakati huu wa mpito ambapo Serikali inatakiwa kuweka pesa Kwa Stamico Ili washirikiane na private sekta kuchimba na kuuza Makaa ya Mawe Kwa Wingi na haraka Ili tuvune pesa na kuziwekeza kwenye sekta zingine za Uchumi.

Hii ado ado na Dana Dana za kunidanganya kwamba hayaozi zitakuja kuwaliza siku Moja.

Namibia na Botswana wanalia Kwa sababu tuu Uchumi wao Kwa sehemu kubwa ulikuwa unategemea Madini ya Almasi lakini bahati mbaya au nzuri Teknolojia imekuwa mchawi.

Kwa Sasa bidhaa za Madini ya Almasi zinatengenezwa Maabara hivyo kupoteza kabisa soko la Madini ya Almasi.

Hili la kutegemea aina Moja ya Madini na kujifariji ndilo limeondoa chama Tawala Botswana na lonatoshia kuondoa chama Tawala Namibia vyote ni vya wakongwe na limeondoa chama Tawala South Africa.

Nitoe wito Kwa Serikali kuchaimba Madini yaliyopo Ili tutumie ku diversify uchumi kabla hayajadoda Kwa sababu za Mabadiliko ya Teknolojia.

Madini ambayo Yako Mbioni Kudoda au yamedoda ni

1.Almasi

2.Shaba

3.Tanzanite/Rubi

4.Makaa ya Mawe

5.Mafuta(Crude Oils)

6.Gas (uzalishaji wake ni expensive)

7.Mercury

8.Magadi Soda

My Take
Madini ya uhakika Kwa Sasa ni Dhahabu na critical Minerals,Sikilizeni ushauri wa Prof.Muhonho.

Mwenzako akinyolewa zako tia maji.
View attachment 3154749
Mchimbe lakini mzingatie yafuatayo:
1. Mnufaishe wazawa kwanza
2. Mtumie teknolojia za kuhifadhi mazingira.
 
Kunufaisha wazawa ndio kukoje? 😆😆😆

Fedha za Mauzo ya Madini hapa Tanzania zinaingia Hazina hakuna utaratibu wa wazawa nk.

Kitu Pekee wanaoitwa wazawa Huwa wanapata kupitia Halmasyzao ni
-Service levy na
-CSR projects
 
Kwani biashara inataka makelele? Ya nini?

Haya Anza kupiga kelele basi 😁😁

Mwisho kama umeelewa.mada nimekwambia tangu vita ya Ukraine vs Russia ianze ndio biashara ya Makaa iliongezeka baada ya Wazungu kuweka vikwazo Mafuta na gesi ya Russia walipunguza matumizi ilimkumkomoa Russia so wakaingeza kutumia Nishati chafu ya Makaa.

So kipindi hicho yanatakiwa yauzwe mengi kadiri iwezekanavyo kabla hayajadoda.
Issue siyo yauzwe tu ili waondoke. Yanauzwa kwa faida gani kwa kwa taifa letu, kizazi hiki na vizazi vijavyo!
Waarabu wanauza mafuta wanawekeza kwa watu wao kwa kuwasomesha vizuri, vitega uchumi nk ili mafuta yaliisha wawe na uchumi mwingine.
Makaa ni nishati ya viwanda, inaweza kuleta wawekezaji waanzishe viwanda ili vijana wapate kazi na nchi ikusanye fedha.
Uuzaji wa sasa ni utupaji, makaa yanauzwa kwa bei ya chini kushinda bei ambayo serikali inapata kwa kuuza mkaa ya kupikia?
Fuatilia bei ya makaa hayo inayotozwa na Stamico na ulinganisho na bei ya makaa ya miti ya kupikia ambayo TFS inatoza kisha utaniambia kamba tutayoboa.
 
Vizazi vijavyo ndio maana yake nini? Unaweza maliza Madini chini ya Ardhi? Yaani USA wenye taknolojia na kuendelea miaka Mingi waligundua Madini na badowanaendelea kugundua ndio uanze kuwaza mambo ya vizazi vijavyo?

Madini sio amazing kwamba vizazi vyote vinahitaji,

Mwisho yaani unauliza tuuze Madini Kwa faida gani?
 
Back
Top Bottom