Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

Vazi mimi linanisaidia nini? nchi za kizungu huko wana mavazi ya nchi? hata yakiwepo yanawasaidia nini? kwenden zenu huko.
 
Hili la mavazi kadhaa tena kwa kutaja na makabila kabisa, Nakataa!
 
Wewe umesha chanjwa Corona???

Badala ya kushauri serikali na wataalamu kutafiti chanjo ya Covid wewe upo na nguo tu, kwani wewe leo huna nguo za kuvaa kama walivyokuwa babu zako mwaka 1900 ???.
Nimecheka sana
Eti "...wewe huna nguo... kama babu zako wa 1900???"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…