Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

Labda hujui vizuri nguo za Kimasai, Ole Sendeka huwa hapigi full, huwa anavaa suti zake na juu anaweka shuka moja. Vazi la Kimasai ni full mashuka na yana style yake ya ufungaji. Sasa niambie ni lini ulimwona Ole Sendeka kapiga full shuka.
Mbona ni mara nyingi sana Ole Sendeka anavaaga full mashuka. Labda inawezekana haujawahi kumuona mkuu. Nimekaa sana Simanjiro hivyo ninajua ninachokiongelea.
 
Back
Top Bottom