Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

Nikimuona Mama Janeth wa JPM ninajisikia uchungu sana amebaki mpweke.
Ujue watu ifike mahali tujijali nafsi zetu wenyewe...

Tangu kifo mpaka mazishi na hata sasa kauli hizi zimekuwa zikitaradadi kila kona

Yaani watu wanajikuta eti wao wana huruma sana kuliko hata hao waliotakiwa kuwa na huruma zaidi

Ngoja nikwambie kwa niaba ya hao wenzako ni kwamba, Huyo unayemwonea huruma;

-ana kazi nzuri kupita wewe
-ana mali na vitega uchumi vya maana tu
-anahudumiwa na serikali mpaka mwisho
-ana watu (ndugu na watoto) ambao wapo vizuri tu kimaisha
-ana...

Mjinga mmoja atanijia juu hapa
 
JPM alikuwa ni Rais wa wote masikini na matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…