hata mimi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,356
- 1,442
Ujue watu ifike mahali tujijali nafsi zetu wenyewe...Nikimuona Mama Janeth wa JPM ninajisikia uchungu sana amebaki mpweke.
Tangu kifo mpaka mazishi na hata sasa kauli hizi zimekuwa zikitaradadi kila kona
Yaani watu wanajikuta eti wao wana huruma sana kuliko hata hao waliotakiwa kuwa na huruma zaidi
Ngoja nikwambie kwa niaba ya hao wenzako ni kwamba, Huyo unayemwonea huruma;
-ana kazi nzuri kupita wewe
-ana mali na vitega uchumi vya maana tu
-anahudumiwa na serikali mpaka mwisho
-ana watu (ndugu na watoto) ambao wapo vizuri tu kimaisha
-ana...
Mjinga mmoja atanijia juu hapa