Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Hahahahaaaa karibu mkuuTigo mtandao wa kidwanzi sana mkuu
Tigo nilifanya nao kazi mwaka 2019 Mwanza. Wanatoa huduma nzuri sana.Hahahahaaaa karibu mkuu
Kuna kaka yangu bado anapiga kazi Tigo Mwanza mpaka leo hii. Probably mtakuwa mnajuana.Tigo nilifanya nao kazi mwaka 2019 Mwanza. Wanatoa huduma nzuri sana.
Njoo tupige kazi wote VodacomHahahahaaaa karibu mkuu
Tigo inakaribia kufa siku si nyigiTigo nilifanya nao kazi mwaka 2019 Mwanza. Wanatoa huduma nzuri sana.
Voda pia wapo hoi bin taabanTigo inakaribia kufa siku si nyigi
Anaitwa nani huyo kaka?Kuna kaka yangu bado anapiga kazi Tigo Mwanza mpaka leo hii. Probably mtakuwa mnajuana.
Hao jamaa walikuwa wanakwepa sana kodi na JPM akawabana. Rais Samia pia atawabana.Voda pia wapo hoi bin taaban
Huu mtandao umejaa matapeli watupuVoda pia wapo hoi bin taaban
Mbowe ana degree moja?Aliyesoma kidogo chadema ni mbowe tu. Yeye ndiye ana degree moja.
Wa LongidoVice President Mpango ni Msukuma wa wapi vile?
Mama Samia Hassan anaonekana ni mkali sana kwa watumishi wazembeHao jamaa walikuwa wanakwepa sana kodi na JPM akawabana. Rais Samia pia atawabana.
Hawa jamaa wanawaibia sana wateja wao sio kama TigoVoda pia wapo hoi bin taaban
Rais Samia ana roho nzuri sana. Alimpa Benz Mzee Mwinyi.Hao jamaa walikuwa wanakwepa sana kodi na JPM akawabana. Rais Samia pia atawabana.
Hisa za Rostam bado zipo Voda?Voda pia wapo hoi bin taaban
Natamani huyu mama aniteue nifanye kazi za taifa kwa uzalendo wa hali ya juu.Hao jamaa walikuwa wanakwepa sana kodi na JPM akawabana. Rais Samia pia atawabana.
Nipe connection na mimi basi mkuuNjoo tupige kazi wote Vodacom
Sio wote matapeli mkuu, tuombe radhi sisi wastaarabu wachache.Huu mtandao umejaa matapeli watupu
Ninaona unawafanyia marketing kiujanja hao mabosi wakoTigo nilifanya nao kazi mwaka 2019 Mwanza. Wanatoa huduma nzuri sana.