Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

Kwa hiyo umetoka kwenye vazi umeenda kwenye lugha, na mbona tanzania imerasimisha kiswahili unahitaji lugha gani? ni kijiji gani Tanzania utaenda uongee kiswahili watu washindwe kukuelewa?
Umevamia mada pasipo kusoma na kuelewa. Rudi upya usome.
 
halafu pia tunataka dunia itutambue kwa mavaz asili vaz wakat humu ndan wenyewe inatupa shida kujua kabila gani vaz lake la asili ni lipi.
Wanaofuatilia masuala ya mila na desturi za makabila ya Tanzania wanajua vema kutambua mavazi ya makabila yetu ya hapa nyumbani.
 
Umevamia mada pasipo kusoma na kuelewa. Rudi upya usome.
Sihitaji kurudia mada yako haikuwa lugha bali vazi la taifa, hivo hata kama kuna mchangiaji kwenye kuchangia kataja lugha wewe bado ulipaswa kusimamia kile ulichokianziasha, unapohama na kuanza kuelezea mafanikio ya Afrika kusini kwa kurasimisha lugha na sikufanikiwa kwenye vazi la taifa, rasmi utakuwa unaelekea kwenye kupiga sarakasi mbili tatu.
 
Ninaomba kusema tena ya kwamba umevamia mada pasipo kusoma na kuelewa. Rudi upya usome
 
Ila kumbuka nchi ya South Africa imefanikiwa katika kurasimisha lugha

wamefanikiwa sababu ni ile ile lugha asili zao zinaingiliana.. wote wanaongea sourthen bantu languages... Xhosa na zulu languages zinaingiliana.. na ndo maana zote ni official languages . na hata makabila madogo mengine lugha zinaingiliana na kizulu na ki xhosa..
kwa maana walau mnaweza mkasikilizana

mfano kuna inchi kama lesotho lugha yao inaitwa Sotho.. ila akiongea hapa kwa ww mgen humtofautishi na alieongea kizulu

ni kama kwetu kiswahili... kila kabila lina lugha yake imagine hata kama kisukuma au kihaya kingekuwa popular tanzania ila ukifanye rasmi. wakat kuna mmakonde na mchaga huko ingekuwa shida.. lazima kuwe na common ground

angalia kenya kuna makabila (kikuyu and luo)wamedominate siasa za kenya.. hadi wana media ( radio and tv) lakini sababu lugha zao hazina nguvu kijographia kwa maana haiingilian walau kwa asilimia kubwa na lugha asili zingine..hawawez kuzifanya lugha za taifa .. common ground yao ni kingereza na sasa hv kiswahili.. kwetu ni kiswahili

kwenye mavaz hatuna.. ukivaa lubega ya shuka jeupe.. ambapo mhaya anavaa kama asili, mchaga pia, na nahis hata iringa wanavaa.

ila vaa dsm.. kama hujaitwa mganga/mchawi basi umetoroka hosptal we chizi.. ila
lubega ile ile ikiwa ya kimasai watu wanaona kawaida.. utaona issue ni lile vazi limefanywa maarufu na wanaovaa life style yao

Nchi zote zenye makabila mengi ni ngumu kuwa na vaz asili ndo maana wanaishia kutengeneza mavaz ya vitenge yenye rangi za bendera ya Nchi husika
 
ni kama kwetu kiswahili... kila kabila lina lugha yake imagine hata kama kisukuma au kihaya kingekuwa popular tanzania ila ukifanye rasmi. wakat kuna mmakonde na mchaga huko ingekuwa shida.. lazima kuwe na common ground
Common ground ni kiingereza huko South Afrika ndio maana hata alama za barabarani pamoja na lugha ya bunge ni hiyo english
 
wamefanikiwa sababu ni ile ile lugha asili zao zinaingiliana.. wote wanaongea sourthen bantu languages... Xhosa na zulu languages zinaingiliana.. na ndo maana zote ni official languages . na hata makabila madogo mengine lugha zinaingiliana na kizulu na ki xhosa..
kwa maana walau mnaweza mkasikilizana

mfano kuna inchi kama lesotho lugha yao inaitwa Sotho.. ila akiongea hapa kwa ww mgen humtofautishi na alieongea kizulu
Zile lugha haziingiliani hata kidogo mkuu. Uliwahi kuishi South Afrika? Lugha ya Afrikaans ni kama kidachi kile ujue? Hakuna hata chembe moja ya ubantu.
 
Nchi zote zenye makabila mengi ni ngumu kuwa na vaz asili ndo maana wanaishia kutengeneza mavaz ya vitenge yenye rangi za bendera ya Nchi husika
Kwa Tanzania ukiweka vazi lenye rangi za bendera ya taifa, kuna watu watakataa kuvaa kwa kusema njano na kijani ni rangi za CCM na Yanga.
 
Zile lugha haziingiliani hata kidogo mkuu. Uliwahi kuishi South Afrika? Lugha ya Afrikaans ni kama kidachi kile ujue? Hakuna hata chembe moja ya ubantu.

yeah kiafrikans ni kiducth ndo maana sikukitaja nimezungumzia ethenic african languages

kidutch kimekuja na makaburu ambao kiasili ni wa dutch.. ndo maana hao Afrikaans unawapata south tu maana sio ethenic group kutoka africa

ni sawa na lugha rasmi ya Liberia inaitwa liberia Kyerol, kifupi ni twisted American slang.. sababu asili yao babu zao waliachwa hapo na meli za kimarekan baada ya mambo ya utumwa kuisha..

so nasaba peke wanaijua ni kutoka america.. had bendera yao ina vinasaba vya marekani ingawa wamarekani wenyewe hawana. mpango nao...

same kwa afrikaans babu zao wamekuja na kidutch kikawa twisted ila 90% ni kidutch
 
Sihitaji kurudia mada yako haikuwa lugha bali vazi la taifa, hivo hata kama kuna mchangiaji kwenye kuchangia kataja lugha wewe bado ulipaswa kusimamia kile ulichokianziasha, unapohama na kuanza kuelezea mafanikio ya Afrika kusini kwa kurasimisha lugha na sikufanikiwa kwenye vazi la taifa, rasmi utakuwa unaelekea kwenye kupiga sarakasi mbili tatu.
Bila shaka wewe ni ndugu yake Mbatia
 
Common ground ni kiingereza ndio maana hata alama za barabarani pamoja na lugha ya bunge ni hiyo english

hiyo kingereza ni commericial language.. nikizungumzia common ground language ni ile mmakonde wa bush ukimpeleka uchagan au kagera.. akihitaj hata msaada wa kuomba chakula lugha itakayo tumika ni kiswahili

waulize wafanyakaz wa NGO na wafanya research wakiingi huko bush.. wakiwasiliana na wenyeji wanatumia nini kama sio kiswahili .. so kingereza ni commercial language .. wala haikuwa common language ya kutuunganisha kimawasiliano toka enzi hizo
 
Common ground ni kiingereza huko South Afrika ndio maana hata alama za barabarani zipo kwa lugha hiyo.
 
Karne hii ya leo unawaza vazi la kitaifa? Ili iweje? Watu tunahitaji maendeleo hatuhitaji mavazi ya kitaifa ili hali matumbo ya njaa, kila utamaduni umeachwa ukisema hauna maana, leo hii nyumba unayoishi unaishi na kinyesi humo humo ukiita self contained, watoto wako au wadogo zako wanasoma shule kwa lugha ya kiingereza si ungewafundisha lugha ya kabila yako tukuone wewe kweli unajali utaifa wako.
Haya mambo yalishindikana enzi za myerere alipokuja na maduka ya ujamaa, vijiji vya ujamaa nk, hakuna namna utaforce watu wafanane.
Kukaa kimya kunasaidia kuficha ujinga dogo
 
Back
Top Bottom