Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #301
Umevamia mada pasipo kusoma na kuelewa. Rudi upya usome.Kwa hiyo umetoka kwenye vazi umeenda kwenye lugha, na mbona tanzania imerasimisha kiswahili unahitaji lugha gani? ni kijiji gani Tanzania utaenda uongee kiswahili watu washindwe kukuelewa?
Famous kwa nani? Kuna watu hapa duniani hawaijui hiyo Namibia au Ghana na wanaijua vema Tanzania.simple jamii yao kule ni famous tayari
Tanzania is a very popular country my friend. Wanaosema Tanzania sio maarufu hao ni wazandiki tu mkuu.so kwa makabila yetu toka enzi na enzi hatujawa popular kwenye mavaz ya asili dunian
......ndio maana kuna wataalam wa Marketingukianza leo itabid uanze kutoa maelezo ya ziada tena ili wayashike hayo maelezo inabid ufanye kitu unique
Tanzania is a very popular country my friend. Wanaosema Tanzania sio maarufu hao ni wazandiki tu mkuu.
Wanaofuatilia masuala ya mila na desturi za makabila ya Tanzania wanajua vema kutambua mavazi ya makabila yetu ya hapa nyumbani.halafu pia tunataka dunia itutambue kwa mavaz asili vaz wakat humu ndan wenyewe inatupa shida kujua kabila gani vaz lake la asili ni lipi.
Alikuwa ni mzalendo sana yule babasawa mkuu umenikumbusha mwendazake sana kwenye hio stament.. [emoji3][emoji3]
Sihitaji kurudia mada yako haikuwa lugha bali vazi la taifa, hivo hata kama kuna mchangiaji kwenye kuchangia kataja lugha wewe bado ulipaswa kusimamia kile ulichokianziasha, unapohama na kuanza kuelezea mafanikio ya Afrika kusini kwa kurasimisha lugha na sikufanikiwa kwenye vazi la taifa, rasmi utakuwa unaelekea kwenye kupiga sarakasi mbili tatu.Umevamia mada pasipo kusoma na kuelewa. Rudi upya usome.
Ninaomba kusema tena ya kwamba umevamia mada pasipo kusoma na kuelewa. Rudi upya usomeSihitaji kurudia mada yako haikuwa lugha bali vazi la taifa, hivo hata kama kuna mchangiaji kwenye kuchangia kataja lugha wewe bado ulipaswa kusimamia kile ulichokianziasha, unapohama na kuanza kuelezea mafanikio ya Afrika kusini kwa kurasimisha lugha na sikufanikiwa kwenye vazi la taifa, rasmi utakuwa unaelekea kwenye kupiga sarakasi mbili tatu.
Ila kumbuka nchi ya South Africa imefanikiwa katika kurasimisha lugha
Common ground ni kiingereza huko South Afrika ndio maana hata alama za barabarani pamoja na lugha ya bunge ni hiyo englishni kama kwetu kiswahili... kila kabila lina lugha yake imagine hata kama kisukuma au kihaya kingekuwa popular tanzania ila ukifanye rasmi. wakat kuna mmakonde na mchaga huko ingekuwa shida.. lazima kuwe na common ground
Zile lugha haziingiliani hata kidogo mkuu. Uliwahi kuishi South Afrika? Lugha ya Afrikaans ni kama kidachi kile ujue? Hakuna hata chembe moja ya ubantu.wamefanikiwa sababu ni ile ile lugha asili zao zinaingiliana.. wote wanaongea sourthen bantu languages... Xhosa na zulu languages zinaingiliana.. na ndo maana zote ni official languages . na hata makabila madogo mengine lugha zinaingiliana na kizulu na ki xhosa..
kwa maana walau mnaweza mkasikilizana
mfano kuna inchi kama lesotho lugha yao inaitwa Sotho.. ila akiongea hapa kwa ww mgen humtofautishi na alieongea kizulu
Kwa Tanzania ukiweka vazi lenye rangi za bendera ya taifa, kuna watu watakataa kuvaa kwa kusema njano na kijani ni rangi za CCM na Yanga.Nchi zote zenye makabila mengi ni ngumu kuwa na vaz asili ndo maana wanaishia kutengeneza mavaz ya vitenge yenye rangi za bendera ya Nchi husika
Zile lugha haziingiliani hata kidogo mkuu. Uliwahi kuishi South Afrika? Lugha ya Afrikaans ni kama kidachi kile ujue? Hakuna hata chembe moja ya ubantu.
Bila shaka wewe ni ndugu yake MbatiaSihitaji kurudia mada yako haikuwa lugha bali vazi la taifa, hivo hata kama kuna mchangiaji kwenye kuchangia kataja lugha wewe bado ulipaswa kusimamia kile ulichokianziasha, unapohama na kuanza kuelezea mafanikio ya Afrika kusini kwa kurasimisha lugha na sikufanikiwa kwenye vazi la taifa, rasmi utakuwa unaelekea kwenye kupiga sarakasi mbili tatu.
Common ground ni kiingereza ndio maana hata alama za barabarani pamoja na lugha ya bunge ni hiyo english
Common ground ni kiingereza huko South Afrika ndio maana hata alama za barabarani zipo kwa lugha hiyo.hiyo kingereza ni commericial language.. nikizungumzia common ground language ni ile mmakonde wa bush ukimpeleka uchagan au kagera.. akihitaj hata msaada wa kuomba chakula lugha itakayo tumika ni kiswahili
waulize wafanyakaz wa NGO na wafanya research wakiingi huko bush.. wakiwasiliana na wenyeji wanatumia nini kama sio kiswahili .. so kingereza ni commercial language .. wala haikuwa common language ya kutuunganisha kimawasiliano toka enzi hizo
Common ground ni kiingereza huko South Afrika ndio maana hata alama za barabarani zipo kwa lugha hiyo.
Kukaa kimya kunasaidia kuficha ujinga dogoKarne hii ya leo unawaza vazi la kitaifa? Ili iweje? Watu tunahitaji maendeleo hatuhitaji mavazi ya kitaifa ili hali matumbo ya njaa, kila utamaduni umeachwa ukisema hauna maana, leo hii nyumba unayoishi unaishi na kinyesi humo humo ukiita self contained, watoto wako au wadogo zako wanasoma shule kwa lugha ya kiingereza si ungewafundisha lugha ya kabila yako tukuone wewe kweli unajali utaifa wako.
Haya mambo yalishindikana enzi za myerere alipokuja na maduka ya ujamaa, vijiji vya ujamaa nk, hakuna namna utaforce watu wafanane.