Chai Nyeusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 347
- 312
Kubishana sio njia bora ya kujifunzaNinaomba tusibishane saaaana
Hakika mkuu. Kubishana ni ushamba sanaKubishana sio njia bora ya kujifunza
Kwani wewe humjui Giggy Money?Ndio vazi gani hilo mkuu. Please weka picha ili sote tulione
Unaguna nini sasa mkuu?mhhh
Acha utani kijanaBasi vazi la gigi money lipendekezwe
Kubishana muhimuNinaomba tusibishane saaaana
Poa mkuuSawa boss
Shoga mambo? Umepotea sana siku hiziPoa mkuu
Ujinga huuKubishana muhimu
Acha utoto wee masaiYani nivae vazi la aina moja na mataga??? Hebu tuheshimiane aisee
Sio kijana huyo babu yakoAcha utani kijana
Haukutaka agune?Unaguna nini sasa mkuu?
Kanzu na baibui vitaendelea kuwa vazi lako la asili lakini sio vazi la taifa kwenye mapendekezo yangu.Na sisi kunaoona kanzu Na baibui ndo vazi letu la asili je? Italuwaje?
Saaaafi sana. Jibu la kejeli hiliKanzu na baibui vitaendelea kuwa vazi lako la asili lakini sio vazi la taifa kwenye mapendekezo yangu.
Kanzu vazi la kidini sio kimilaNa sisi kunaoona kanzu Na baibui ndo vazi letu la asili je? Italuwaje?
Achana naye huyo mlugalugaHaukutaka agune?
Kuna watu wamekula chumvi sana humu jukwaaniSio kijana huyo babu yako
Mimi nimekula sukari. Unasemaje sasa?Kuna watu wamekula chumvi sana humu jukwaani