Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Domo zege huyo mwenyekiti sijui katibu mkuu wa BAWACHA. Alimfukuzia sana dada yanguKuna jamaa mmoja alikuwa ananiambia Mnyika ni mzee wa totoz sana alipokuwa chuoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Domo zege huyo mwenyekiti sijui katibu mkuu wa BAWACHA. Alimfukuzia sana dada yanguKuna jamaa mmoja alikuwa ananiambia Mnyika ni mzee wa totoz sana alipokuwa chuoni.
Ulisoma na Mnyika darasa moja wapi?Nimesoma darasa moja na Mnyika. Ninamjua nje ndani
Kuna sehemu niliwahi kusoma wakawa wanasema Mnyika alifoji vyeti.Ulisoma na Mnyika darasa moja wapi?
Mnyika ni kanjaa la chadema. Madai yake anasema kasoma UDSM kumbe hamna loloteKuna sehemu niliwahi kusoma wakawa wanasema Mnyika alifoji vyeti.
Aliyesoma kidogo chadema ni mbowe tu. Yeye ndiye ana degree moja.Mnyika ni kanjaa la chadema. Madai yake anasema kasoma UDSM kumbe hamna lolote
Rais Samia ndiye msomi wa maana ndani ya CCMKuna sehemu niliwahi kusoma wakawa wanasema Mnyika alifoji vyeti.
Mzee Majaliwa na Vice Mpango pia wana busara kweli kweli. Hakika Mungu amewabariki watanzania.Rais Samia ndiye msomi wa maana ndani ya CCM
Kassim Majaliwa, Philip Mpango pamoja na Rais Samia hii ni team mpya ya ushindi kwa Tanzania ya sasa.Mzee Majaliwa na Vice Mpango pia wana busara kweli kweli. Hakika Mungu amewabariki watanzania.
Mama anajua sana kiingereza huyuRais Samia ndiye msomi wa maana ndani ya CCM
Ninampenda sana Rais Samia kwa sababu ana roho nzuri kwa taifa lake.Mama anajua sana kiingereza huyu
Ninawapenda sana hawa wachapa kazi wa taifa. Mama Samia ni Rais muungwana sana.Kassim Majaliwa, Philip Mpango pamoja na Rais Samia hii ni team mpya ya ushindi kwa Tanzania ya sasa.
Vice President Mpango ni Msukuma wa wapi vile?Mzee Majaliwa na Vice Mpango pia wana busara kweli kweli. Hakika Mungu amewabariki watanzania.
Mzee Mpango ni Muha yuleVice President Mpango ni Msukuma wa wapi vile?
Mama Samia asimchekee kabisa Mbowe na genge la wahuni wenzieNinawapenda sana hawa wachapa kazi wa taifa. Mama Samia ni Rais muungwana sana.
Hawachelewi kujipiga risasi kama Lissu kisha wakawasingizia CCMMama Samia asimchekee kabisa Mbowe na genge la wahuni wenzie
Mzee Mpango ni mtu mmoja muungwana sana kama Waziri LukuviMzee Mpango ni Muha yule
Rais Samia pia yupo vizuri sana yule mamaMzee Mpango ni mtu mmoja muungwana sana kama Waziri Lukuvi
Samia ni mzanzibar ujueRais Samia pia yupo vizuri sana yule mama
Lukuvi alisomaga USSR miaka ya 1970sMzee Mpango ni mtu mmoja muungwana sana kama Waziri Lukuvi
Yes. Alisomaga na babu yangu marehemu sasaLukuvi alisomaga USSR miaka ya 1970s