Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Samia ni Rais wa awamu ya sita. Mama Mzanzibar na msomi sanaSamia ni mzanzibar ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia ni Rais wa awamu ya sita. Mama Mzanzibar na msomi sanaSamia ni mzanzibar ujue
Mume wa mama Samia pia ni mzee mmoja muungwana sanaRais Samia pia yupo vizuri sana yule mama
Yes ninamjua sana yule baba hata ongea yake ni ya kistaarabu kweli kweli.Mume wa mama Samia pia ni mzee mmoja muungwana sana
Mh. Rais Samia aliwahi kusoma Ulaya?Samia ni Rais wa awamu ya sita. Mama Mzanzibar na msomi sana
Ninatamani huyu mama awe hata mama mkwe wangu kwa maana anaonekana ana roho nzuri sana.Samia ni Rais wa awamu ya sita. Mama Mzanzibar na msomi sana
Ninampenda sana huyu baba, anaongea kwa staha sana.Mume wa mama Samia pia ni mzee mmoja muungwana sana
Rais Samia ni mrembo piaSamia ni Rais wa awamu ya sita. Mama Mzanzibar na msomi sana
Ndio mkuu alisoma UingerezaMh. Rais Samia aliwahi kusoma Ulaya?
Mume wa Rais Samia ni msomi saaaana pia kama mke wake.Ninampenda sana huyu baba, anaongea kwa staha sana.
Hii ina maana gani sasa mzee baba?Piga simu tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 3 bila kikomo Bei 30000/ malipo ni baada ya kazi[emoji736]
Bila shaka mama ana binti mmoja ambaye ni mbunge huko ZanzibarNinatamani huyu mama awe hata mama mkwe wangu kwa maana anaonekana ana roho nzuri sana.
Oa binti yake unangojea nini sasa?Ninatamani huyu mama awe hata mama mkwe wangu kwa maana anaonekana ana roho nzuri sana.
Mama Samia na Salma Kikwete wana ndugu? Mbona wanafanana sana?Mh. Rais Samia aliwahi kusoma Ulaya?
89% ya watu wa Pemba huwa ni wastaarabu sana.Yes ninamjua sana yule baba hata ongea yake ni ya kistaarabu kweli kweli.
Alisomaga Tanzania pamoja na UholanziMh. Rais Samia aliwahi kusoma Ulaya?
Pesa ya kulipa kama mahari anazo?Oa binti yake unangojea nini sasa?
Mama Samia mpole kama DC JokateRais Samia ni mrembo pia
Mama Samia alisoma Denmark bhana acha uongo wakoNdio mkuu alisoma Uingereza
Tigo mtandao wa kidwanzi sana mkuuPiga simu tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 3 bila kikomo Bei 30000/ malipo ni baada ya kazi[emoji736]