The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Alafu wawauzie watu wasiojiweza pale muhimbili na hospitali zote za serikali.Asisahau kuomba gloves ziwe bure akina mama wanaojifungua wanalipia.Maza anaupiga mwingi.. Misaada ya madawa itakuwa chekwa
Mnaandamana lini mana Uswisi na WHO hakuna tume huru ya uchaguzi ndo mana jamaa Kashinda, mana ww na wenzio mlikuwa vinara kumpinga Janabi asishinde.Maza anaupiga mwingi.. Misaada ya madawa itakuwa chekwa
Nimejiuliza kwa nini Jakaya Kampambania sana kwenye kampeni?Maslai yake na familia yake
Kupangiwa misosi yani shuzi limepata mjambajiKwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030.
Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu.
Naomba kuwasilisha
The introvent ✍️
Tumbo lake lingezidi kusinyaa.
😂😂😂Kupangiwa misosi yani shuzi limepata mjambaji
Mada inahusu nchi nzima, sio yeye binafsi kwahy mambo ya tumbo kusinyaa ni yake binafsi, sasa nipe faida ya nchi nzima 😂Tumbo lake lingezidi kusinyaa.
Yeye ndiyo sababu ya kujiuliza haya maswali maana nguvu kubwa imetumikaKikwete atajibu
Chadema bhana 😂Kulipa fdhila tu hapo maana gharama zilizotumika ni kubwa Sana ukilinganisha na anachoenda kukipata huko WHO.
Hakuna nchi imetumia rasilimali kubwa Kama Tanzania hii inaashiria ile Kazi yake imemlipa
Kwahiyo kila asikubaliana na Janabi ni Chadema ?Chadema bhana 😂
Mnavyobadili gia mtadhani sio nyie mliokuwa mnampinga 😂
Mnadhani hatuwajui Nyie, Haya subirini hapo Octoba ndo mnapewa mzigo kamiliKwahiyo kila asikubaliana na Janabi ni Chadema ?
Sawa Kijana wa Mwalimu Nyerere wa EKEMnadhani hatuwajui Nyie, Haya subirini hapo Octoba ndo mnapewa mzigo kamili