Anachoenda kukipata ni kikubwa pia mkuu...Kulipa fdhila tu hapo maana gharama zilizotumika ni kubwa Sana ukilinganisha na anachoenda kukipata huko WHO.
Hakuna nchi imetumia rasilimali kubwa Kama Tanzania hii inaashiria ile Kazi yake imemlipa
Maslai yaoNimejiuliza kwa nini Jakaya Kampambania sana kwenye kampeni?
Kwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030.
Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu.
Naomba kuwasilisha
The introvent ✍️
Hapa ndio yaleyale ya Obama na KenyaKwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030.
Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu.
Naomba kuwasilisha
The introvent ✍️
Pesa ya kumpambania ndani ya africa na kule uswiss ilitoka wapi?Nimejiuliza kwa nini Jakaya Kampambania sana kwenye kampeni?
Wa sekta gani hasa , nidodose mkuu madaktari, maafisa afya, manesi n.k?Kuna idadi kadhaa ya watanzania watapata ajira WHO kanda ya Afrika
Ni ndani ya mfuko wetu?Pesa ya kumpambania ndani ya africa na kule uswiss ilitoka wapi?
ni wa sekta ya afya wale wenye standard ya kufanya kazi ngazi za kimataifa. Unaweza ukawa humu humu nchini kwenye ofisi yao au nchi nyingine ya afrika au hukohuko geneva yaliko makao makuu ya WHO. Kanda ya afrika kwa sasa sijui headquarter yake iko wapi ila mind kuwa kuna watanzania kadhaa watapata ajira WHO AfricaWa sekta gani hasa , nidodose mkuu madaktari, maafisa afya, manesi n.k?
WHO inampango wa kuounguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu ya ukata kutokana na Marekani kujitoa. Hiyo ya ajira tusahau kwa sasa.ni wa sekta ya afya wale wenye standard ya kufanya kazi ngazi za kimataifa. Unaweza ukawa humu humu nchini kwenye ofisi yao au nchi nyingine ya afrika au hukohuko geneva yaliko makao makuu ya WHO. Kanda ya afrika kwa sasa sijui headquarter yake iko wapi ila mind kuwa kuna watanzania kadhaa watapata ajira WHO Africa
None.Mada inahusu nchi nzima, sio yeye binafsi kwahy mambo ya tumbo kusinyaa ni yake binafsi, sasa nipe faida ya nchi nzima 😂
Oh ni jambo la kherini wa sekta ya afya wale wenye standard ya kufanya kazi ngazi za kimataifa. Unaweza ukawa humu humu nchini kwenye ofisi yao au nchi nyingine ya afrika au hukohuko geneva yaliko makao makuu ya WHO. Kanda ya afrika kwa sasa sijui headquarter yake iko wapi ila mind kuwa kuna watanzania kadhaa watapata ajira WHO Africa
Hatimaye Mkuu umeunga mkono juhudi👌👌Maza anaupiga mwingi.. Misaada ya madawa itakuwa chekwa
Bc tuliaNone.
Hapa ni roho mbYa ya udini ndio inawatesa hawa ndugu hapa fatikia wanaotoa kejeli sijui nn ni hao wa jpl halafu ni hawa hawa waliotoa povu kwa ndugulile kama tz itafaidika ndio hawa hawa leo visokorokwinyo kweli tz tunasafr ndefu mm naona itoshe kusema yy na familia yake are only benefitMnaandamana lini mana Uswisi na WHO hakuna tume huru ya uchaguzi ndo mana jamaa Kashinda, mana ww na wenzio mlikuwa vinara kumpinga Janabi asishinde.
Inanufaika kwa CCM kuitumia kama sera yake mpya japo haisaidii. Hata hivyo, tumshukuru mheshimiwa mtukufu rais daktari profesa mtume nabii, general field marshal SSH kwa kuliwezesha hili. Huu nao ni mmoja wa miujiza na maono ya mama. Kweli mama anaupiga mwingi wanangu.Kwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030.
Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu.
Naomba kuwasilisha
The introvent ✍️
Soma pia News Alert: - Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO
Well n good yaliobakia ni roho mbaya za kina waleni wa sekta ya afya wale wenye standard ya kufanya kazi ngazi za kimataifa. Unaweza ukawa humu humu nchini kwenye ofisi yao au nchi nyingine ya afrika au hukohuko geneva yaliko makao makuu ya WHO. Kanda ya afrika kwa sasa sijui headquarter yake iko wapi ila mind kuwa kuna watanzania kadhaa watapata ajira WHO Africa