Tanzania itanufaika vipi na uteuzi wa Prof. Janabi WHO

Hongera kwake Prof Janabi,wengi walimbeza lakini ndiyo hivyo, Mungu akipanga hakuna wa kupangua.
 

Nchi inakuwa trusted kwamba kuna vichwa. Siyo wote mnakuwa wasukuma bodaboda. Familia inaonekana ya hovyo.
Lakini pia kuna kitu kinaitwa insider information. Niishie hapo
 
Wa sekta gani hasa , nidodose mkuu madaktari, maafisa afya, manesi n.k?
ni wa sekta ya afya wale wenye standard ya kufanya kazi ngazi za kimataifa. Unaweza ukawa humu humu nchini kwenye ofisi yao au nchi nyingine ya afrika au hukohuko geneva yaliko makao makuu ya WHO. Kanda ya afrika kwa sasa sijui headquarter yake iko wapi ila mind kuwa kuna watanzania kadhaa watapata ajira WHO Africa
 
WHO inampango wa kuounguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu ya ukata kutokana na Marekani kujitoa. Hiyo ya ajira tusahau kwa sasa.
 
Oh ni jambo la kheri
 
Uhakika wa ARV mzee sasa nikukiwasha tu janabi hawezi kubali watu wake tuteketee kwa kukosa marifa wakati an acccess ya kutuletea ARV
 
Mnaandamana lini mana Uswisi na WHO hakuna tume huru ya uchaguzi ndo mana jamaa Kashinda, mana ww na wenzio mlikuwa vinara kumpinga Janabi asishinde.
Hapa ni roho mbYa ya udini ndio inawatesa hawa ndugu hapa fatikia wanaotoa kejeli sijui nn ni hao wa jpl halafu ni hawa hawa waliotoa povu kwa ndugulile kama tz itafaidika ndio hawa hawa leo visokorokwinyo kweli tz tunasafr ndefu mm naona itoshe kusema yy na familia yake are only benefit
 
Inanufaika kwa CCM kuitumia kama sera yake mpya japo haisaidii. Hata hivyo, tumshukuru mheshimiwa mtukufu rais daktari profesa mtume nabii, general field marshal SSH kwa kuliwezesha hili. Huu nao ni mmoja wa miujiza na maono ya mama. Kweli mama anaupiga mwingi wanangu.
 
Well n good yaliobakia ni roho mbaya za kina wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…