Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapaka dawa juu ya bandage?Reli iliyopo imeshindwa kutimiza hayo yote?
Siasa mingi, ndio kama hiya tunayoambiwa double lane , wakati reli mnaacha inaozeana , hatuna planning kabisa, tunaenda na utashi wa aliyekuwepoKwenye utekelezaji na customer service sisi ni wababaishaji wa kutupwa. Porojo nyingi vitendo hakuna. Hakuna hata kitu kimoja tunachofanya kwa ufanisi
Sawa. Kuanzia Leo hiyo mizigo yote ya DRC ipite Dar (Signed).Naungana nawe mkuu, nchi yetu tunahitaji tuchukue mizigo ya DRC even for 45%,tutatengeneza fedha nyingi mno, DRC (the future economic giant ya Africa)mizigo yake mingi inakwenda Walvis bay, Durban ambako ni mbali sana, inatakiwa ije Dar
Kwani inapita wapi?Sawa. Kuanzia Leo hiyo mizigo yote ya DRC ipite Dar (Signed).
Kwani inapita wapi?
Kwa hiyo wenye Malori wakanye kwako?Kutumia treni kama njia kuu ya usafirishaji kutapunguza muda idadi ya magari barabarani
Reli inaacha "last mile" , hvyo wenye malori wachangamkie last mile.Kwa hiyo wenye Malori wakanye kwako?
Itasababisha kuwe na Sabotage.Reli inaacha "last mile" , hvyo wenye malori wachangamkie last mile.
Rilway police wana kazi gani? Reli ni muundombinu kama miundombinu mingine. Inalindwaje?Itasababisha kuwe na Sabotage.
Kweni hata Tazara si ilikuwa na lengo hilo hilo yako wapi?Rilway police wana kazi gani? Reli ni muundombinu kama miundombinu mingine. Inalindwaje?
Mkuu wazambia walikuwa wanaitumia sana hio reli kupitisha mizuho kutoka bandarini tena hata Botswana, ila baada ya kutoka wizi sana pale bandarini kipindi cha mkweli, na mkweli kujiingiza kwenye biashara ya malori reli ndo ikafa.Wanajenga tazara kua sgr ya nini wakati hawataki kuitumia?
Wataalam wanafuatizia mawazo ya wanasiasa hawajui kwamba hiyo cape gauge ya tazara ilichaguliwa ili kuingiliana na mtandao wa reli za afrika ya kusini?
Reli ya tazara inaingiliana na afrika ya kusini, congo angola, zimbabwe, zambia, botswana, na mozambique. Ndio maana tunaona safari za treni ya tazara zikitokea afrika kusini hadi dar.
Mwaka jana au juzi kulikua na safari ya kitalii kutoka dar hadi benguela angola.
Ubinafsi na ufisadi umefanya tushindwe kuendesha tazara kwa faida na kusaidia uchumi wa nchi zetu mbili.
Itakua ujinga kuingia mradi kufanya tazara sgr bila nchi zote za sadc kukubali mradi huo.
Reli ya tazara inafanya vibaya kutokana na ujinga na ubinafsi wa viongozi wa tanzania na zambia. Wanachofikiria ni matumbo yao.
Wanafikiria malori yao na washikaji wao. Hawajali uhai wa barabara ambazo zinagharamiwa ujenzi na umma.
Sgr ya Ethiopia haitumiki now mkuu?Kweni hata Tazara si ilikuwa na lengo hilo hilo yako wapi?
SGR ya Ethiopia imebaki story tu huku Malori yakipeta.