Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 938
Jamaa leo atajificha chooni dadekiUchawi sio mpaka ubebe ma tunguri au upae na ungo hata huu ni uchawi pia
Usijali ngoja niendelee kuchochea moto hapa iive mapema
Mim kidogo hali sio nzur.Hahahaaa. Lol.
Usijali ndugu yangu. Uko poa lakini?
hahahahhahhahahahahha karibu sana utafikia kwanza mabwepande wakati tunakutafutia makazi ya kudumu
HahahΓ aa. Sawa mdogo wangu.Usijali ngoja niendelee kuchochea moto hapa iive mapema
Duuh! Pole sana.Mim kidogo hali sio nzur.
Vipi na wew hali yako?
Hahahaaaa. Sawa Mkuu.hahahahhahhahahahahha karibu sana utafikia kwanza mabwepande wakati tunakutafutia makazi ya kudumu
Shukran sana.Duuh! Pole sana.
Mie Alhamdulillah uzima upo ndio maana nipo jf nachokozana na watu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
hahahha trust me, you will be next to me kwenye dreamliner kuelekea kubeba ubingwa sasa.Hahahaaaa. Sawa Mkuu.
Ila ngoja hizo game mbili zipite kwanza ikitokea kimeeleweka basi ntaanza kuungana nanyi ukielekea Cameroon. πππ
Yaani acha tu ndugu. Kwani najua kushadadia hasa. ππShukran sana.
Nakuona na uchokozi unauweza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Umeshauwazia ubingwa wakati hata kufuzu bado Mkuu. Duuuh.hahahha trust me, you will be next to me kwenye dreamliner kuelekea kubeba ubingwa sasa.
Wew sio kushadidia pekee na kukomaa pia unakoma hhhhh.Yaani acha tu ndugu. Kwani najua kushadadia hasa. ππ
Hahahaaaa. Jamaaani. Duuuh.Wew sio kushadidia pekee na kukomaa pia unakoma hhhhh.
hahaha mkuu ukiwaza ndoa lazimabuwaze na watoto,Hahahaaa. Umeshauwazia ubingwa wakati hata kufuzu bado Mkuu. Duuuh.
Haya bana kila la kheri Mkuu.
Hahahaa. Ila kwa timu hii tuwaze ndoa tu la watoto tuliache kwanza. πππππhahaha mkuu ukiwaza ndoa lazimabuwaze na watoto,
japo lolote laweza tokea
hahahahhahhahahahahha mkuu hata field martial vitani anavaa bullet proof na silaha kem kem sembuse mimi?Hahahaa. Ila kwa timu hii tuwaze ndoa tu la watoto tuliache kwanza. πππππ
Mkuu hapo kwenye red naona unaweka maneno ya kukukinga eee.
Binamu jana hukuwa na uhakika kama tungeshindaDuuh! Pole sana.
Mie Alhamdulillah uzima upo ndio maana nipo jf nachokozana na watu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nataka nikununulie na Jersey ya taifa stars naomba uchague namba ngapi unapendelea?Hahahaaaa. Sawa Mkuu.
Ila ngoja hizo game mbili zipite kwanza ikitokea kimeeleweka basi ntaanza kuungana nanyi ukielekea Cameroon. [emoji3][emoji3][emoji3]
ENDELEA NA PESSIMISM YAKO LAKINI VIJANA WAMEMCHANA MTUMWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67
Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini
KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA
1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril
AISHI MANULA
Simba
2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani
2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia
3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league
3.Gadiel michael
Yanga
4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno
4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi
5:AGREY
AZAM FC
6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi
6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL
7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno
7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt
8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA
8:MUDATHIRI
AZAM
9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE
9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN
10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA
10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE
11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno
11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco
hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???
Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,
Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza
Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*
Hahahaaa. Binamu sio kwa kujitolea huko aiseeee.Mm nataka nikununulie na Jersey ya taifa stars naomba uchague namba ngapi unapendelea?