Radio Killa
Member
- Jan 14, 2009
- 10
- 1
Nashangaa waislamu wanavyoandamana Dar kwa vifo vya wapalestina wakati waislamu weusi wa Darfur wanauwawa kwa wingi huko Sudani ya kusini.Nawataka waache double stardard
Nashangaa waislamu wanavyoandamana Dar kwa vifo vya wapalestina wakati waislamu weusi wa Darfur wanauwawa kwa wingi huko Sudani ya kusini.Nawataka waache double stardard
Zakumi,
Hao wabaki huko huko. Tumeshindwa kuwapa Wanyarwanda na Warundi ardhi leo tuwakaribishe Wayahudi na Wapalestina? Wabaki huko huko!
Huko nyuma tuliwahi kusema kuwa "kila mtu anastahili haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake". Pia tulisema kwamba kila watu wana haki ya kuwa na mahali ambapo watakuwa salama kutoka vitisho vyovyote vya utu wao na nafasi yao kama jamaa.
Kwa sababu hiyo tuliunga mkono POLISARIO na PLO, kama vile tulivyounga mkono Biafra, kuunga mkono ANC, FRELIMO n.k Tuliamini ya kwamba hakuna mwanadamu mwingine ambaye ana haki ya kumtawala kwa nguvu mwanadamu mwingine kwa kisingizio chochote kile. Hii ilikuwa ni falsafa yetu dhidi ya ukoloni.
Leo hii tunashuhudia yanayoendelea Palestina ambapo karibu maelfu ya watu wameshauawa. Je, Bunge linapokutana siku chache zijazo zilaani mauaji hayo? Je serikali ilaani pande zote mbili kwa kusababisha mazingira ambayo yanamnyima mwanadamu nafasi ya kuwa huru kufanya lolote? Je tuungane na nchi kama Venezuela na Bolivia ambazo zimevunja uhusiano na Israel kutokana na suala la Gaza?
Je tukifanya hivyo hatutaulizwa uhusiano wetu na nchi kama Sudan, Somalia, Iran, n.k ambapo rekodi zao kuhusu haki za binadamu na raia si za kupewa sifa?
Au tuendelee kukaa pembeni tu na kuwaacha "wafu wawazike wafu wao"?
...hao Hamas wangekuwa na uwezo dunia nzima tungelazimishwa kuvaa kanzu na kibaraghashia,acha wachapwe tuu maana nao nia yao ni kuwamaliza na kuwafuta Israelites ila hawana uwezo tuu,wako pale kwa agenda za extremist kama Osama na Irans hardliners,hata 2 state solution hawataki,wanachotaka kuona ni Israel amekuwa wiped out,Israel watakuwa wajinga sana kutowachapa hawa..
"Mess with the bull and you get the horns"
Having said that, Hamas is learning it the hard way you cant fire rockets into another country and when they react preemptively you start whining"
..After the six months of Truce Agreement between the government of Israel and Palestine ended, Hamas sent message to the goverment of Israel by Rocket propelled grenades. Remember Israel always kept away its stance with Palestine. But Hamas through manipulative language to its citizens..
Wana JF,
Katika vita hii inayoendelea ni vigumu kuwalaumu Israel wakati wao wanalojukumu la kujilinda. Tatizo hapa Israel imeamua kutumia nguvu nyingi lakini ukweli unabaki pale pale kwamba hii ni vita na HAMAS inapeleka makombora yake Israel. Uzuri hatupati habari kamili juu ya madhara ya hayo makombora.
Kwa upande mwingine tunapashwa kuyalaumu mataifa ambayo yanaisaidia HAMAS kwa kuwapelekea silaha lakini sasa Wapalestine hata wale ambao labda hawai-support HAMAS wanaumia. Je nchi hizo zinaiunga mkono HAMAS zimefanya nini mpaka sasa ukiacha makombora machache yaliyorushwa Israel kutokea Lebanon? Sasa wanakimbilia suluhisho la kidiplomasia wakati wapalestine wanaendelea kuuwawa. Mbona nchi hizo hazisaidii kuishambulia Israel? Nchi hizo haziwezi kusaidia kuishambulia Israel wazi wazi kwa kuwa kufanya hivyo ni sawa na kuunga mkono kikundi cha kigaidi. HAMAS si jeshi halali la wapalestina. Hivyo wanaogopa kujitokeza hadharani lakini upande wa pili wanaisaidia HAMAS kwa silaha na pesa.
Mataifa hasa ya kiarabu yafike mahali yaache unafiki ambao kwa kweli unawaumiza zaidi wapalestine zaidi ya faida ambayo wanaipata kupitia HAMAS. Mataifa haya yanaiogopa Israel kama ukoma lakini yanaisakizia HAMAS ipigane na Israel.
Nafikiri ilikuwa sahihi sana kwa Tanzania kuwa na neutral stand kwani both HAMAS and Isreal none of them is doing the right thing.
Siku njema.
- Wabongo bwana, kama kawaida yetu kujaribu kujiingiza ingiza kwenye yasiyotuhusu, yanayotuhusu hapa nyumbani ambayo ni mengi sana hata pa kuanzia hujui, lakini sasa tuko ya huko Middle East as if kuna anaye-care kuhusu msimamo wetu na hivyo vita!
Hebu tutafute mbinu za kulinda Albino hapa kwanza, ndio tukasaidie wengine huko Middle East!
Nakubaliana na Netanyahu kabisa..
Tanzania tuna priority nyingi sana za zinazotugusa maisha yetu ya kila siku kwa karibu kabisa zaidi ya kuingilia mgogoro ulioko maelfu ya kilometa mbali na nchi yetu. Sijui ni nani alietuloga watanzania tukawa na tukawa na kimbelembele kisichosaidia cha kuingilia mambo yasiyotuhusu na kuacha kushughulikia yale ya muhimu yanayotuhusu......kwenda kuandamana kuwatetea wapalestina si priority kwa nchi yetu hata kidogo....
Sijui ni kwanini Tanzania hatuwezi kujifunza kutokana na makosa sijui ni uvivu wa kufikiri au ni nini hasa kinachotusumbua. Tulipoteza resource nyingi sana kuwatetea nchi nyingine zipate uhuru hali sisi wenyewe tukiwa tumebakia masikini wa kutupwa na wale tuliokua tunawatetea wakiwa na maisha mazuri na zaidi sana wakiwa hawataki hata tukanyage katika nchi zao.
"Everybody is for himself" .Nashangaa sana bado watanzania wanakua na wema wa mshumaa (kuwamulikia wenzio huku wao wakiteketea) na kupoteza muda wao kutetea kitu ambacho hakitawasaidia wao kwa namna yeyote. By the way hao wapalestina mnaojifanya kuwatetea hawana mpango na sisi hata kidogo ndio maana hata siku moja sijasikia maandamano ya waarabu kutetea mauaji wanayofanyiwa watu weusi au matatizo ya Somalia.
I can assure you, kama ingekua ni waafrika weusi wangekua wanabutuliwa hivi sasa wapalestina wasingepoteza hata lepe la usingizi wao kuandamana kuwatetea. Lets be mature, tuache kupoteza muda kwa kujiingiza katika mambo ambayo hayatuhusu.
Pande zote mbili zikae pamoja zikubaliane. wapalestina waache uchokozi wao kwa kudhani kua ipo siku wataiondoa Israeli katika ile nchi. Watafute suluhisho la kuishi kama raia wema wakifuat asheria na kuacha uchokozi wa kurusha maroketi kwa Israeli. Kama wanaona kuishi kwa Amani na Israeli ni vigumu na kuchagua kutumia ubabe basi matokeo ya kumchokoza mbabe ndio hayo wanayoyavuna sana.
Watu wenyewe hawana nguvu alafu wanampiga Mbabe makonzi, Mbabe anapojibu mapigo kwa kuwakata mitama wanaaanza kulalamika....Oooh anatuonea, anapiga ngumi za machoni...n.k.
Lastly. Ningefurahi sana kwama watanzania tungeamka na kuwa tunafanya vitu kwa faida sit u kwa ushabiki usioleta manufaa kwa taifa. Nasikitika sana ni kwanini hatuna ubalozi wa Israeli hapa Tanzania wakati tunajua ya kwamba kama taifa tungefaidika sana kwa kupata teknolojia na utaalamu wa hali ya juu waliokua nao waisraeli.
Nashangaa waislamu wanavyoandamana Dar kwa vifo vya wapalestina wakati waislamu weusi wa Darfur wanauwawa kwa wingi huko Sudani ya kusini.Nawataka waache double stardard
Huko nyuma tuliwahi kusema kuwa "kila mtu anastahili haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake". Pia tulisema kwamba kila watu wana haki ya kuwa na mahali ambapo watakuwa salama kutoka vitisho vyovyote vya utu wao na nafasi yao kama jamaa.
Kwa sababu hiyo tuliunga mkono POLISARIO na PLO, kama vile tulivyounga mkono Biafra, kuunga mkono ANC, FRELIMO n.k Tuliamini ya kwamba hakuna mwanadamu mwingine ambaye ana haki ya kumtawala kwa nguvu mwanadamu mwingine kwa kisingizio chochote kile. Hii ilikuwa ni falsafa yetu dhidi ya ukoloni.
Leo hii tunashuhudia yanayoendelea Palestina ambapo karibu maelfu ya watu wameshauawa. Je, Bunge linapokutana siku chache zijazo zilaani mauaji hayo? Je serikali ilaani pande zote mbili kwa kusababisha mazingira ambayo yanamnyima mwanadamu nafasi ya kuwa huru kufanya lolote? Je tuungane na nchi kama Venezuela na Bolivia ambazo zimevunja uhusiano na Israel kutokana na suala la Gaza?
Je tukifanya hivyo hatutaulizwa uhusiano wetu na nchi kama Sudan, Somalia, Iran, n.k ambapo rekodi zao kuhusu haki za binadamu na raia si za kupewa sifa?
Au tuendelee kukaa pembeni tu na kuwaacha "wafu wawazike wafu wao"?
nimezichunguza hoja zako na kugundua kwamba zimejaa uzawa na uraia wa mipaka , jambo ambalo naliona linakupotezea mwelekeo katika mijadala yako. just kumbuka kwamba hii mipaka kakuwekea mkoloni na isikufanye mipaka hii kumsahau anaedhurika. eniwei , ukihisi kwamba jambo halikuhusu kwanini hukai kimya? badili ya ku interfere mada za watu kwahali ya kuwatoa watu nje ya mada? , aloanzisha hii mada limemgusa ndo maana akaanzisha sasa wewe kama halijakugusa just ignore the thread!. tukirudi kwenye subject , sioni sababu ya kuwa na uhusiano na israel mpaka pale watakapokomesha occupation na wakakubali at least kuishi kwa heshima katika hiyo ardhi walioiba.- Wabongo bwana, kama kawaida yetu kujaribu kujiingiza ingiza kwenye yasiyotuhusu, yanayotuhusu hapa nyumbani ambayo ni mengi sana hata pa kuanzia hujui, lakini sasa tuko ya huko Middle East as if kuna anaye-care kuhusu msimamo wetu na hivyo vita!
Hebu tutafute mbinu za kulinda Albino hapa kwanza, ndio tukasaidie wengine huko Middle East!
nimezichunguza hoja zako na kugundua kwamba zimejaa uzawa na uraia wa mipaka , jambo ambalo naliona linakupotezea mwelekeo katika mijadala yako.
just kumbuka kwamba hii mipaka kakuwekea mkoloni na isikufanye mipaka hii kumsahau anaedhurika. eniwei , ukihisi kwamba jambo halikuhusu kwanini hukai kimya? badili ya ku interfere mada za watu kwahali ya kuwatoa watu nje ya mada? , aloanzisha hii mada limemgusa ndo maana akaanzisha sasa wewe kama halijakugusa just ignore the thread!.
tukirudi kwenye subject , sioni sababu ya kuwa na uhusiano na israel mpaka pale watakapokomesha occupation na wakakubali at least kuishi kwa heshima katika hiyo ardhi walioiba.