coockie monster
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 390
- 757
Trump ni mbaguzi,wametuwekea vikwazo vya kudhalilisha. Madhali kiusalama wa nchi hatuwezi kulipa kama wao ila tutumie uswahili wetu na fitna zetu kuwazuia Baadhi ya watalii wanaokuka kiholela kutoka Marekani. Unless awe amebook hotel za kueleweka sio Airbnb na ubabaishaje mwengine..
Tutunze heshima yetu,Sisi ni Waswahili na maskini Jeuri. Hata kama tajiri usininyanyase,Serikali yetu itafute mbinu ya kulipiza hata kikachero.. watu kadhaa from US wakilalamika kwenye social Media walivozuiwa ujumbe utafika.. Maisha yenyewe magumu ila tukiteseka huku serikali ikijipanga mfumo wa kujitegemea.. Vizazi vinavyokuja havitoteseka na influence ya mataifa makubwa kiuchumi. Naamini serikali hii inajipanga vyema na inatumia utaalamu wake kujenga Tanzania ya kunitegemea.