Tanzania iwe makini na Wakenya wanaoingia nchini kwa wingi kufuata chakula kutokana na uhaba mkubwa wa chakula Kenya

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Kuna wimbi kubwa la wakenya wanaoishi kwenye borders za Tanzania kuvuka kuingia nchini specifically kwa ajili ya kufuata msosi na vinywaji vya bei rahisi kutokana na Kenya kuwa na upungufu mkubwa wa chakula pamoja na bei mbaya za gharama za maisha

Tunajua huu umekua utaratibu toka miaka mingi kwa wakenya kuja kuganga njaa zao na kutafuta slope Tanzania hasa kwenye vinywaji vikali

Naomba serikali iwe makini hasa ukizingatia Corona inasambaa kutokana na contamination ya maji maji ya mdomo, pua etc

Njaa za wakenya zisijekuwa Chanzo cha janga kubwa nchini, tuwapelekee chakula huko kwao lakini sio kukubali watuletee Corona nchini sababu mpaka saivi wao ndio wanaongoza kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa Corona ukanda huu.

Soma comments hapa uone jinsi wanavyoshadadia kwamba hawatoacha kuingia nchini kuganga njaa zao

Si Kama vile watz wanaingia Kenya kuwa omba omba. Alafu kwani jeshi lenu la polisi wamekwenda likizo wakati haya yanatokea?
 
Jeshi la POLISI Tanzania halishughuki na mambo hayo, kazi ya POLISI Tanzania ni kupambana na Corona, wakati POLISI Kenya ni kuwapiga na kuua wananchi wanaopambana na Corona.

Hawa hapa POLISI Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una point nzur ila umetumia lugha ngumu mno isiyojenga.

Kenya ni ndugu zetu na tunashirikiana kwa mengi so usingetumia lugha ngumu hivyo kama mashambuliz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbi kubwa la wakenya wanaoishi kwenye borders za Tanzania kuvuka kuingia nchini specifically kwa ajili ya kufuata msosi na vinywaji vya bei rahisi kutokana na Kenya kuwa na upungufu mkubwa wa chakula pamoja na bei mbaya za gharama za maisha

Tunajua huu umekua utaratibu toka miaka mingi kwa wakenya kuja kuganga njaa zao na kutafuta slope Tanzania hasa kwenye vinywaji vikali

Naomba serikali iwe makini hasa ukizingatia Corona inasambaa kutokana na contamination ya maji maji ya mdomo, pua etc

Njaa za wakenya zisijekuwa Chanzo cha janga kubwa nchini, tuwapelekee chakula huko kwao lakini sio kukubali watuletee Corona nchini sababu mpaka saivi wao ndio wanaongoza kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa Corona ukanda huu.

Soma comments hapa uone jinsi wanavyoshadadia kwamba hawatoacha kuingia nchini kuganga njaa zao

Wacha roho mbaya. Win win situation. Wabongo mnapata hela sie tunapata mlo. Tatizo liko wapi hapo? Ama hutaki Wabongo wenzako kupata mihela?
 
wazee wa kulinda mipaka KUWENI MAKINI.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Wacha roho mbaya. Win win situation. Wabongo mnapata hela sie tunapata mlo. Tatizo liko wapi hapo? Ama hutaki Wabongo wenzako kupata mihela?
Nimesema huo ni utaratibu wenu toka siku nyingi lakini kwa sasa kutokana na ninyi kuongoza kwa kuwa na Corona upande huu, tahadhari ni muhimu.
 
Back
Top Bottom