Tanzania iwe na serikali moja tu.

Tanzania iwe na serikali moja tu.

Jajani

Senior Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
137
Reaction score
16
Huu MUUNGANO tulio nao sielewi kama ni wa danganya toto au nini.
Muungano wa kweli na wenye tija, ni wa serikali moja tu.
Muungano huu ni wa kichekesho tu. Muungano wa baadhi tu ya mambo, maana yake nini ?
Nimemsikia kiongozi mmoja akisisitiza maazimio ya wazanzibar kwenye mapendekezo ya katiba mpya.
Wazanzibar wapo barabarani bara kibao na wengi wamewekeza vizuri tu mpaka huko Tunduma !! Lakini wa bara hana nafasi hiyo visiwani.
Hii mimi sikubali kabisa na inawezikana kuwa huu muungano haupo ila ni kudanganyana tu.
Wanachoamua Zenj chao lakini cha barabarani cha wote ? Noooo tuwe na Serikali moja tu.
 
Unaonaje kukawa na serekali ya tanganyika pekee?kule z'br ipo serekali ya zbr pekee.
 
Mi nadhani hoja ya busara ni kuvunja vunja nchi nzima tujenge majimbo ya kutosha na yajitegemee kama nchi kamili! I mean Tanganyika kuwa na Majimbo Kumi na Zenji yawepo mawili, hapo tutaondoa Ujinga huuu
 
Back
Top Bottom