Watanzania fungukeni. Walichokataa ni kupitia njia za panya ambazo hupeleka mitungi. Mingi halipiwi ushuru wale kukaguliwa ubora. Mombasa kuna bulk process hivyo ni fursa kwa makampuni yetu kupeleka bulk natural gas. Ila kwa kuwa sisi ni walalamishi hatulioni hili.
Stupid minds.... Have you been in a class.... How does KQ interfere with Tanzanian milk and gas companiestukitoka maziwa tunaenda kuzuia KQ kutua Tanzania!
Tanzania begun playing foul the moment they started sacking and deporting Kenyans with valid documents to leave and work in TanzaniaHapa hayahitajiki mazungumzo. Kinachohitajika ni kuwawekea vikwazo na wao... Period...
usidhiirishe ujinga wako hadharaniWakenya walishatutangulia ki elimu na ndomaana hadi leo tunakunywa maziwa ya kenya hali ya kua tuna mifugo ya kumwaga hadi tumechoka na vita vya wafugaji Na wakulima kutokana na mifugo tulonayo
Tuna siagi (blueband)ni kenya BigG ni kenya biscuits ni Kenya japo zao la dengu linatoka tz kwetu.na ndomaana hata fedha yetu itafkia noti ya elf1 kua Coin
Watanzania fungukeni. Walichokataa ni kupitia njia za panya ambazo hupeleka mitungi. Mingi halipiwi ushuru wale kukaguliwa ubora. Mombasa kuna bulk process hivyo ni fursa kwa makampuni yetu kupeleka bulk natural gas. Ila kwa kuwa sisi ni walalamishi hatulioni hili.
Vipi kuhusu..
.Asas
.Bakhresa
.Tanga fresh
.Mara
.Dar fresh. Etc
Hayo nayo ni ya Wakenya?
Oh you love al shabbabu [emoji120] [emoji120] wait and see sasa mmetangaza vita na tzWe need Somalia More than Danganyika
Baresa, Tanga Fresh, Asas, Mara Milk etc ni ya Wakenya?Vipi hili litafanyika ilhali kampuni za Maziwa kule Bongo ni za wa Kenya??
alafu??tukitoka maziwa tunaenda kuzuia KQ kutua Tanzania!
Uzuri ni kwamba uzuiaji wa maziwa ya Kenya unawapa Asas na Bakhresa dairies control of market kama wao wanavyopigania Kenyan gas businesses. Tumewanyang'anya pipeline, rail na sasa tunateka soko la gesi Kenya! Lazima nyang'au achanganyikiwe..
Hahaha hivi mtu anaetumia gas Kenya si billionea na najua wengi Kenya hawajawahi kuona matumizi ya cooking gas wakati Tanzania cooking gas inauzwa kama mafungu ya kuni mpaka vijijini gas inatumiwa.Tangu tuwanyang'anye pipeline wanatuchokonoa hawa jamaa..roho imawauma kugundua hata gas business in the region is under our control.
Duh hii noma sana haiwezekani huo ni ukatili mkubwa sanaNingependa kusikia msuli wa serekali ukijitokeza katika hili sakata.
Mosi, Zuia KQ
Pili,Zuia maziwa yote ya Kenya kuingia soko la Tanzania
Tatu,fukuza waKenya wote wanaofanya kazi Tanzania wakiwemo wale wa EAC
Nne, Fukuza Balozi wa Kenya mara moja
Tano,Bidhaa zote za Kenya zipandishiwe ushuru 100%
Sita,Zuia bidhaa za chakula kwenda Kenya hasa Mahindi
Serekali kupitia wizara mbali mbali kuangalia namna ya kuzidisha mbinyo hadi yule jamaa anayetumia yale majani atuombe radhi.
punguzeni kukata miti kwanza. wacheni kutumia kuni kupikia. munawapa kina mama shida nyingi sana. Kenya tunatumia gesi na stima kupikiaHahaha hivi mtu anaetumia gas Kenya si billionea na najua wengi Kenya hawajawahi kuona matumizi ya cooking gas wakati Tanzania cooking gas inauzwa kama mafungu ya kuni mpaka vijijini gas inatumiwa.
Sasa tunataka tuwakomboe Wakenya na tuwatoe ushamba wa gas uhuru anabana
Labda gas ya choonipunguzeni kukata miti kwanza. wacheni kutumia kuni kupikia. munawapa kina mama shida nyingi sana. Kenya tunatumia gesi na stima kupikia
eh! kama munatumia gesi ya chooni kupikia basi muko mbele. hongeraLabda gas ya chooni