Tanzania izuie uingizwaji wa maziwa ya Kenya

Tanzania izuie uingizwaji wa maziwa ya Kenya

Watanzania fungukeni. Walichokataa ni kupitia njia za panya ambazo hupeleka mitungi. Mingi halipiwi ushuru wale kukaguliwa ubora. Mombasa kuna bulk process hivyo ni fursa kwa makampuni yetu kupeleka bulk natural gas. Ila kwa kuwa sisi ni walalamishi hatulioni hili.

Watelewa kweli mkuu??
 
Kenya we currently mine our own petroleum and then produce gas from it.... So why import from tanzania
 
Wakenya walishatutangulia ki elimu na ndomaana hadi leo tunakunywa maziwa ya kenya hali ya kua tuna mifugo ya kumwaga hadi tumechoka na vita vya wafugaji Na wakulima kutokana na mifugo tulonayo
Tuna siagi (blueband)ni kenya BigG ni kenya biscuits ni Kenya japo zao la dengu linatoka tz kwetu.na ndomaana hata fedha yetu itafkia noti ya elf1 kua Coin
usidhiirishe ujinga wako hadharani
 
Watanzania fungukeni. Walichokataa ni kupitia njia za panya ambazo hupeleka mitungi. Mingi halipiwi ushuru wale kukaguliwa ubora. Mombasa kuna bulk process hivyo ni fursa kwa makampuni yetu kupeleka bulk natural gas. Ila kwa kuwa sisi ni walalamishi hatulioni hili.

Fuatilia Video hii mwanzo mwisho
Kenya chokochoko zao hajia anza leo
ila muda wowote nasi tutalibutua

 
Vipi kuhusu..
.Asas
.Bakhresa
.Tanga fresh
.Mara
.Dar fresh. Etc
Hayo nayo ni ya Wakenya?

Hayo yamekuja majuzi tu.lkn tumeanza kutumia KCC,,TAND BOND.BLUEBAND.DAIRY MILK naDAWA ZA MISWAKI ZA WAKENYA tangia miaka ya 80 Mkuu
 
Mbona simple tu! Mpaka wa Namanga zuia Mahindi yasiingie Kenya,Mpaka wa Silali Zuia Mahindi,Michele na viazi kuingia Kenya,Mpaka wa Kilimanjaro ufungwe kabisa.....By the way cross borders business sometimes hua haina faida kwa wakazi wa wakaida....Utakuta Watanzania wa Kawaida Gas inakua tatizo kwasabb bei inapaa kulingana na demands ya Kenya na Kwa wa Kenya wengi wanashindwa Kunywa Maziwa yakutosha kwasabb yanaingizwa Tanzania nauku Tanzania Tuna Maziwa ya Kutosha maana ata Ng'ombe tunawazidi kwa mbali....Sasijui ni RAIA gani atakaepata shida uku Gas itashuka bei na Maziwa tunayo sijui waKenya Maziwa ndo yatachange yawe LPG
 
Tangu tuwanyang'anye pipeline wanatuchokonoa hawa jamaa..roho imawauma kugundua hata gas business in the region is under our control.
Hahaha hivi mtu anaetumia gas Kenya si billionea na najua wengi Kenya hawajawahi kuona matumizi ya cooking gas wakati Tanzania cooking gas inauzwa kama mafungu ya kuni mpaka vijijini gas inatumiwa.

Sasa tunataka tuwakomboe Wakenya na tuwatoe ushamba wa gas uhuru anabana
 
Hii mimi inanipa good picture kwamba Kenya sasa wanayo inferiority complexity hasa ukizingatia Tanzania tunajitegemea kwa almost bidhaa zote domestically na tunauza bidhaa nyingi Kenya kuliko wao na speed ya Magu kuhusu Tanzania ya viwanda ndio wanachanganyikiwa kabisa.

Tujiulize ni kwanini wazuie na ngano kuingia Kenya?
 
Ningependa kusikia msuli wa serekali ukijitokeza katika hili sakata.

Mosi, Zuia KQ

Pili,Zuia maziwa yote ya Kenya kuingia soko la Tanzania

Tatu,fukuza waKenya wote wanaofanya kazi Tanzania wakiwemo wale wa EAC

Nne, Fukuza Balozi wa Kenya mara moja

Tano,Bidhaa zote za Kenya zipandishiwe ushuru 100%

Sita,Zuia bidhaa za chakula kwenda Kenya hasa Mahindi

Serekali kupitia wizara mbali mbali kuangalia namna ya kuzidisha mbinyo hadi yule jamaa anayetumia yale majani atuombe radhi.
Duh hii noma sana haiwezekani huo ni ukatili mkubwa sana
 
Kenyans have been playing these silly games for sometime now. It is about time, Tanzania leaders, should come with concrete measure which will inflict severe economic pain to our beloved neighbors.
 
Hahaha hivi mtu anaetumia gas Kenya si billionea na najua wengi Kenya hawajawahi kuona matumizi ya cooking gas wakati Tanzania cooking gas inauzwa kama mafungu ya kuni mpaka vijijini gas inatumiwa.

Sasa tunataka tuwakomboe Wakenya na tuwatoe ushamba wa gas uhuru anabana
punguzeni kukata miti kwanza. wacheni kutumia kuni kupikia. munawapa kina mama shida nyingi sana. Kenya tunatumia gesi na stima kupikia
 
Rais magufuli anaanza na mkataba wa parking pale Dar es salaam
 
Back
Top Bottom