Tanzania izuie uingizwaji wa maziwa ya Kenya

Tanzania izuie uingizwaji wa maziwa ya Kenya

You seem to be a sober person with a good grasp on issues, why don't you help your brothers. Don't make the rest of the east Africans think you guys are fools. Help them, I know you are able.
Noway, tz is a nation brother,don't be fooled ,we have brain,don't poison yu ar self nyang'au!!
 
nadhani gesi imeigwa marufuku ili kukinga wakenya ama consumers wa hizi gesi....sio kwasababu wakenya wnawachukia tanzania...every country makes decisions to protect its people...na ndio maana gesi hizi zitaubaliwa kupitia bandari ya Mombasa ambapo zitakaguliwa kwanza....tulieni watz tunajua nyie ni wapumbavu ila hakuna haja ya kuthibitisha..wacheni ujinga...
Baba yako ndio mpumbavu. Sonofabitch
 
April 26, 2017
Dodoma, Tanzania

Waziri wa Viwanda Tanzania, Charles Mwijage kuhusu gesi ya Tanzania na Ngano kukatazwa Kenya na hatua ambazo wizara yake itachukua kufuatilia katazo hili na namna wa kupata ufumbuzi

Source: Millard Ayo
 
Kama ni kwa mujibu wa ITIFAKI NA MASOKO KUINGILIANA AFRIKA MASHARIKI!!!!!mbona MNAZUIA MIRUNGI???hilo zao kwao linaingiza kipato cha taifa kuliko gongo viroba konyagi ginyagi na kadhalika sasa angalieni pande zote
 
Wakenya walishatutangulia ki elimu na ndomaana hadi leo tunakunywa maziwa ya kenya hali ya kua tuna mifugo ya kumwaga hadi tumechoka na vita vya wafugaji Na wakulima kutokana na mifugo tulonayo
Tuna siagi (blueband)ni kenya BigG ni kenya biscuits ni Kenya japo zao la dengu linatoka tz kwetu.na ndomaana hata fedha yetu itafkia noti ya elf1 kua Coin
 
Katika mambo ya msingi serekali haizungumzii waliuwa watu msumbiji hakuna tamko misaada imefungiwa hakuna usemi mwingine uarabun kapigwa picha zina sambaa hakuna mtetetez we mseme bashite ndo ujue utekelezaji
 
Ningependa kusikia msuli wa serekali ukijitokeza katika hili sakata.

Mosi, Zuia KQ

Pili,Zuia maziwa yote ya Kenya kuingia soko la Tanzania

Tatu,fukuza waKenya wote wanaofanya kazi Tanzania wakiwemo wale wa EAC

Nne, Fukuza Balozi wa Kenya mara moja

Tano,Bidhaa zote za Kenya zipandishiwe ushuru 100%

Sita,Zuia bidhaa za chakula kwenda Kenya hasa Mahindi

Serekali kupitia wizara mbali mbali kuangalia namna ya kuzidisha mbinyo hadi yule jamaa anayetumia yale majani atuombe radhi.
7) nyang'anya ardhi yote(zote) zinazomilikiwa na wakenya.... Maana washaona Tz ndo nchi yao kimbilio lá kuja kuwekeza ktk ardhi, sasa fukuza wakagombanie mashamba yao ya kisettler.
 
Hahahaha, hii habari anko hajaisikia nadhani akiipata anaweza mpa Ambassador 24hrs awe keshatua Nai😀😀
Mzee uendeshaji wa nchi unasiri nyingi, kunamambo mengi sana kama haya ambayo nahic watu wetu wa system wanacounter kimyakimya bila sisi kujua. halafu inshu kama hii Rais hatakiwi kuonekana direct anakomaa nayo atachafua hali ya hewa kimataifa
 
Kama ni kwa mujibu wa ITIFAKI NA MASOKO KUINGILIANA AFRIKA MASHARIKI!!!!!mbona MNAZUIA MIRUNGI???hilo zao kwao linaingiza kipato cha taifa kuliko gongo viroba konyagi ginyagi na kadhalika sasa angalieni pande zote
Braza mirungi inakubalika Kenya kisheria Tanzania haikubaliki kisheria so ni lazma izuiliwe,gas inakubalika kenya kisheria gas inakubalika tz kisheria so kucompare gas na mirungi you're totally wrong
 
Duuuh Kenya ni wa kutuwekea economic embargo sis,subiri na ss tuwawekee tuone who will cry more
 
Wakenya mmemkera sana mzee wetu mlipomwomba madaktari mkazingua.. Ilifika hatua akaamua kuajiri wale walioomba kwa hasira.
Sasa mnazidi kumtia hasira JPm
Hadi Jumamosi vilio vitaanza kusikika. Trust me.
 
Wakenya walishatutangulia ki elimu na ndomaana hadi leo tunakunywa maziwa ya kenya hali ya kua tuna mifugo ya kumwaga hadi tumechoka na vita vya wafugaji Na wakulima kutokana na mifugo tulonayo
Tuna siagi (blueband)ni kenya BigG ni kenya biscuits ni Kenya japo zao la dengu linatoka tz kwetu.na ndomaana hata fedha yetu itafkia noti ya elf1 kua Coin
Vipi kuhusu..
.Asas
.Bakhresa
.Tanga fresh
.Mara
.Dar fresh. Etc
Hayo nayo ni ya Wakenya?
 
Vipi kuhusu..
.Asas
.Bakhresa
.Tanga fresh
.Mara
.Dar fresh. Etc
Hayo nayo ni ya Wakenya?
Anabonga tu kuna vitu haelewi,bidhaa as Kenya nyingi utazikuta kilimanjaro na arusha mikoa ya jirani,ukitoka uko kidogo tanga, mikoa mingine mali nyingi sio za kenya madukani....kipindi flani nikiwa Rukwa kuna bidhaa a Zambia kule kimtindo na Congo
 
Ningependa kusikia msuli wa serekali ukijitokeza katika hili sakata.

Mosi, Zuia KQ

Pili,Zuia maziwa yote ya Kenya kuingia soko la Tanzania

Tatu,fukuza waKenya wote wanaofanya kazi Tanzania wakiwemo wale wa EAC

Nne, Fukuza Balozi wa Kenya mara moja

Tano,Bidhaa zote za Kenya zipandishiwe ushuru 100%

Sita,Zuia bidhaa za chakula kwenda Kenya hasa Mahindi

Serekali kupitia wizara mbali mbali kuangalia namna ya kuzidisha mbinyo hadi yule jamaa anayetumia yale majani atuombe radhi.
Hahahaaa
Tz inasemekana ndo watabe wa diplomasia.
 
Mzee uendeshaji wa nchi unasiri nyingi, kunamambo mengi sana kama haya ambayo nahic watu wetu wa system wanacounter kimyakimya bila sisi kujua. halafu inshu kama hii Rais hatakiwi kuonekana direct anakomaa nayo atachafua hali ya hewa kimataifa
Pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom