Tanzania kama huna hela, asilimia kubwa unaweza kupokwa haki yako

Tanzania kama huna hela, asilimia kubwa unaweza kupokwa haki yako

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Yaani hii nchi ya ovyo, ukidhulumiwa, kuibiwa, kutapeliwa na hata mambo makubwa kama kunyanyaswa, kama huna hela au connections sahau kupata haki.

Ndio maana sasa naona ni sawa wezi, wabakaji nk kuchomwa moto hadharani tu na wananchi wenye hasira zetu.
 
Yaani hii nchi ya ovyo ukidhulumiwa, kuibiwa, kutapeliwa na hata makuu km kubakwa au kunyanyaswa km huna hela au connections sahau kupata haki; ndo maana sasa naona ni sawa wezi, wabakaji ni kuchomwa moto hadharani tu na wananchi wenye hasira zetu.
Kama una kitu fulani cha kuwasilisha kwenye baraza, tulia kwanza hasira ziishe au zipungue kisha tuletee hoja yako tuidadavu.
 
Kama una kitu fulani cha kuwasilisha kwenye baraza, tulia kwanza hasira ziishe au zipungue kisha tuletee hoja yako tuidadavu.
Naona hujawahi kutendwa ngoja nikuache
 
Ni kweli Mkuu.

HAKI KWA NCHI MASIKINI NI NGUMU SANA KUIPATA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom