Ricky Blair JF-Expert Member Joined Mar 13, 2023 Posts 463 Reaction score 1,009 Dec 14, 2023 #1 Yaani hii nchi ya ovyo, ukidhulumiwa, kuibiwa, kutapeliwa na hata mambo makubwa kama kunyanyaswa, kama huna hela au connections sahau kupata haki. Ndio maana sasa naona ni sawa wezi, wabakaji nk kuchomwa moto hadharani tu na wananchi wenye hasira zetu.
Yaani hii nchi ya ovyo, ukidhulumiwa, kuibiwa, kutapeliwa na hata mambo makubwa kama kunyanyaswa, kama huna hela au connections sahau kupata haki. Ndio maana sasa naona ni sawa wezi, wabakaji nk kuchomwa moto hadharani tu na wananchi wenye hasira zetu.
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 4,632 Reaction score 1,773 Dec 14, 2023 #2 Ricky Blair said: Yaani hii nchi ya ovyo ukidhulumiwa, kuibiwa, kutapeliwa na hata makuu km kubakwa au kunyanyaswa km huna hela au connections sahau kupata haki; ndo maana sasa naona ni sawa wezi, wabakaji ni kuchomwa moto hadharani tu na wananchi wenye hasira zetu. Click to expand... Kama una kitu fulani cha kuwasilisha kwenye baraza, tulia kwanza hasira ziishe au zipungue kisha tuletee hoja yako tuidadavu.
Ricky Blair said: Yaani hii nchi ya ovyo ukidhulumiwa, kuibiwa, kutapeliwa na hata makuu km kubakwa au kunyanyaswa km huna hela au connections sahau kupata haki; ndo maana sasa naona ni sawa wezi, wabakaji ni kuchomwa moto hadharani tu na wananchi wenye hasira zetu. Click to expand... Kama una kitu fulani cha kuwasilisha kwenye baraza, tulia kwanza hasira ziishe au zipungue kisha tuletee hoja yako tuidadavu.
Ricky Blair JF-Expert Member Joined Mar 13, 2023 Posts 463 Reaction score 1,009 Dec 14, 2023 Thread starter #3 Kyenju said: Kama una kitu fulani cha kuwasilisha kwenye baraza, tulia kwanza hasira ziishe au zipungue kisha tuletee hoja yako tuidadavu. Click to expand... Naona hujawahi kutendwa ngoja nikuache
Kyenju said: Kama una kitu fulani cha kuwasilisha kwenye baraza, tulia kwanza hasira ziishe au zipungue kisha tuletee hoja yako tuidadavu. Click to expand... Naona hujawahi kutendwa ngoja nikuache
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Dec 14, 2023 #5 Ni kweli Mkuu. HAKI KWA NCHI MASIKINI NI NGUMU SANA KUIPATA. KaziKweliKweli/JobTrueTrue