Tanzania kama Uingereza vile

Tanzania kama Uingereza vile

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
505
Reaction score
376
Sijui kwa sababu walitutawala au ni lipi?
Yaani tunamdomo kama waingeleza
Mchezaji wa kingeleza akifanya kitu kidogo promo anayopewa utadhani hakuna zaidi yake!
Angalia bei zao zilivyo! Kufuru tupu!!
Yaani ikitokea kwa miaka hii England ikaingia fainal tu hata isipobeba kombe la dunia basi kelele zake hatutalala
Wao ni kama sisi watanzania! Samata kushinda mchezaji bora kelele tunazopiga utadhani tumekuwa mabingwa wapya wa africa yaani mpaka tumesahau kuwa juzi tu hapa tulipigwa wiki (7-0)

Haya sio mbaya tukifanana na mkoloni wetu
 
Huu ugonjwa upo hadi kwenye siasa....utakumbuka Lowassa kapewa nafasi ya kubeba bendera ya UKAWA watu wakashangilia sana kabla hata ya ushindi...noma sana
Cc Bavaria Mmawia
 
ni Waingereza na siyo Waingeleza
sawa lakini
 
Back
Top Bottom