Tanzania katika huduma za Afya za kibingwa, haina mpinzani ukanda huu

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,111
Reaction score
46,625

MY TAKE: Wakati Kenya wanafurahia kufanya operations bila mgonjwa kulala usingizi, Tanzania tupo miaka 50 mbele ya Kenya.

Jambo moja muhimu na tofauti kubwa ni kwamba, Tanzania Hospital bora zenye kufanya haya maajabu ni Hospitali za serikali wakati Kenya ni Private Hospitals, sio zaidi ya 5% ya wakenya wanaomudu kutumia Private Hospitals.
 
Yana ukweli kiasi gani?

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Unajuaje,

MY TAKE: Wakati Kenya wanafurahia kufanya operations bila mgonjwa kulala usingizi, Tanzania tupo miaka 50 mbele ya Kenya.

Jambo moja muhimu na tofauti kubwa ni kwamba, Tanzania Hospital bora zenye kufanya haya maajabu ni Hospitali za serikali wakati Kenya ni Private Hospitals, sio zaidi ya 5% ya wakenya wanaomudu kutumia Private Hospitals.
 
MY TAKE: Wakati Kenya wanafurahia kufanya operations bila mgonjwa kulala usingizi, Tanzania tupo miaka 50 mbele ya Kenya.

Jambo moja muhimu na tofauti kubwa ni kwamba, Tanzania Hospital bora zenye kufanya haya maajabu ni Hospitali za serikali wakati Kenya ni Private Hospitals, sio zaidi ya 5% ya wakenya wanaomudu kutumia Private Hospitals.

Ni kweli lakini hata hospitali za serikali kuna muda inastaajabisha. Hukusikia juzi mmama anadaiwa zaidi ya milion mia kama deni la kuhudumia watoto wake waliozaliwa njiti tena kwenye hospitali ya serikali?
 
Sijakuelewa. Kwamba Huduma za afya Tanzania Ni bora kwa kuwa tu sisi tunavyofanya opareshen wagonjwa hawalali? Kweli? Ungekuwa umekaa kenya sawa. Wewe Ni sawa na maccm yanayosema tumezalisha ajira mil. 8
 
Huna akili, huwezi kuelewa mada nyeti kama hii, nenda ungana na wenzako kufukuzana katika NGO yenu.
 
Back
Top Bottom