joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Yana ukweli kiasi gani?MY TAKE: Wakati Kenya wanafurahia kufanya operations bila mgonjwa kulala usingizi, Tanzania tupo miaka 50 mbele ya Kenya.
Jambo moja muhimu na tofauti kubwa ni kwamba, Tanzania Hospital bora zenye kufanya haya maajabu ni Hospitali za serikali wakati Kenya ni Private Hospitals, sio zaidi ya 5% ya wakenya wanaomudu kutumia Private Hospitals.
MY TAKE: Wakati Kenya wanafurahia kufanya operations bila mgonjwa kulala usingizi, Tanzania tupo miaka 50 mbele ya Kenya.
Jambo moja muhimu na tofauti kubwa ni kwamba, Tanzania Hospital bora zenye kufanya haya maajabu ni Hospitali za serikali wakati Kenya ni Private Hospitals, sio zaidi ya 5% ya wakenya wanaomudu kutumia Private Hospitals.
Ni kweli lakini hata hospitali za serikali kuna muda inastaajabisha. Hukusikia juzi mmama anadaiwa zaidi ya milion mia kama deni la kuhudumia watoto wake waliozaliwa njiti tena kwenye hospitali ya serikali?MY TAKE: Wakati Kenya wanafurahia kufanya operations bila mgonjwa kulala usingizi, Tanzania tupo miaka 50 mbele ya Kenya.
Jambo moja muhimu na tofauti kubwa ni kwamba, Tanzania Hospital bora zenye kufanya haya maajabu ni Hospitali za serikali wakati Kenya ni Private Hospitals, sio zaidi ya 5% ya wakenya wanaomudu kutumia Private Hospitals.
Huna akili, huwezi kuelewa mada nyeti kama hii, nenda ungana na wenzako kufukuzana katika NGO yenu.Sijakuelewa. Kwamba Huduma za afya Tanzania Ni bora kwa kuwa tu sisi tunavyofanya opareshen wagonjwa hawalali? Kweli? Ungekuwa umekaa kenya sawa. Wewe Ni sawa na maccm yanayosema tumezalisha ajira mil. 8