Samia umeua kwa upanga utakufa kwa upanga02 November 2026
St. John's, Antigua
MKUTANO WA WAKUU WA SERIKALI NA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA ANTIGUA 2026
Tukio la kando la CHOGM 2026: Kulinda demokrasia na ushirikishwaji katika Jumuiya ya Madola
03 Novemba 2026, 15:00 - 19:00 (AST / UTC-4)
Kupitia mfululizo wa majopo shirikishi, washiriki watashiriki mawazo na suluhisho za vitendo ili kuchunguza jinsi tunavyoweza kuimarisha taasisi za kidemokrasia, kuhimiza ushiriki mkubwa wa umma na kufanya kazi pamoja kushughulikia changamoto zinazokabili jamii za Jumuiya ya Madola.
Jumuiya ya Madola inawezaje kuunga mkono demokrasia, ujumuishaji na haki za binadamu katika ulimwengu unaobadilika haraka? Wakati ambapo taasisi za kidemokrasia zinakabiliwa na shinikizo linaloongezeka - kuanzia kupungua kwa uaminifu wa umma na taarifa potofu hadi mielekeo ya kimabavu na kupungua kwa nafasi ya kiraia - jukumu la Mabunge kama walinzi wa maadili ya kidemokrasia ni muhimu zaidi kuliko hapo awali.
Mada hii, iliyoandaliwa kwa ushirikiano na Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA), litajumuisha:
Source : Member countries
- Majadiliano ya jopo yakifuatiwa na Maswali na Majibu kuhusu kulinda demokrasia - kutekeleza Azimio la Nadi
- Majadiliano ya jopo yakifuatiwa na Maswali na Majibu: Jumuiya ya Madola Jumuishi Zaidi: Kuendeleza Haki, Usawa na Ushiriki
- Gumzo la pana la mengine yatakayowakilyshwa
Amemuua mama yako..? 🥴🥴🤮🤮Samia umeua kwa upanga utakufa kwa upanga
Sio mama yangu tu, kina mama wengi, kina baba wengi, vijana wengi na watoto wengi piaAmemuua mama yako..? 🥴🥴🤮🤮
Unaweza ku justify kauli yako ukiitwa..?Sio mama yangu tu, kina mama wengi, kina baba wengi, vijana wengi na watoto wengi pia
Niitwe na wauaji? Au?Unaweza ku justify kauli yako ukiitwa..?
Vyombo vya dolaNiitwe na wauaji? Au?
TOKA MAKTABA 2026
Since its controversial general election in October 2025, Tanzania -International community relations have nosedived
View attachment 3703292
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.
Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.
Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama?
Nimejikuta namkumbuka mtawala Katili wa Nigeria, Gen Sani Abacha alieponza nchi yake kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kumyonga Mwanaharakati na Mwanamazingia Ken Saro-Wiwa na wenzake mwaka 1995
- Salary Slip
- inaweza jumuiya jumuiya ya madola kusimamishwa madola mapendekezo tanzania uanachama
- Replies: 60
- Forum: Jukwaa la Siasa
Samia umeua kwa upanga utakufa kwa upanga
Women legislators from across the Great Lakes Region gather in Tanzania this November for four days of dialogue, partnership and shared commitment to the region’s future.Tanzania continuing to create an enabling environment for women to participate in leadership, peace, security and national development, Vice-President Deogratius Ndejembi has said, during the Great Lakes Region Women Parliamentarians’ Conference (WPC) in Dar es Salaam.
Commonwealth Secretary-General, Hon Shirley Botchwey, said in her opening remarks that this pre-CHOGM CFAMM meeting sought to focus on the challenges facing Commonwealth countries, including how to respond to hostile actions against them, and how they fashion strategies to fill the gap for funding social goods critical for building their own resilience and shared Commonwealth prosperity. She said to Ministers:"When we last met at Lancaster House in London, we agreed on the need to do more as Foreign Ministers – to uphold our collective values, increase our visibility, and deepen our relationship with strategic partners.
"The Commonwealth is an important platform for dialogue, collaboration and opportunity. Through partnerships and shared action, we can build resilience, unlock economic opportunity, and ensure that the Commonwealth continues to deliver meaningful benefits for our people.
"This week, we invite our Commonwealth family to rally behind the CHOGM theme, ‘Accelerating Partnerships and Investment for a Prosperous Commonwealth’. Let us make the most of this moment of opportunity for the Commonwealth and show our people that they matter."
Foreign Ministers and Heads of Delegation received a Report from the Chair of the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) for the period 2024-26. CMAG is chaired by Hon Chris Fearne, Minister for Foreign and European Affairs of the Republic of Malta."In today’s world, there are few certainties left. But one thing we can be sure of is that the Commonwealth family is a place where all voices are heard, and that the time for action is now.
"This week, you will experience a transformed CHOGM: shorter, but with more packed in.
The initiatives we are launching this week complement national programmes and our existing support for member countries, with scaled responses that reflect our ambition for transformation.
"This CHOGM, have been designed around your priorities, to help you achieve your goals.
Inspired by our values and our history of problem-solving, we are looking to your leadership and support to deliver transformative change for our 2.7 billion citizens."