Je, Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola isipotekeleza mapendekezo yake?

Je, Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola isipotekeleza mapendekezo yake?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.

Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.

Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama?

Nimejikuta namkumbuka mtawala Katili wa Nigeria, Gen Sani Abacha alieponza nchi yake kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kumyonga Mwanaharakati na Mwanamazingia Ken Saro-Wiwa na wenzake mwaka 1995
 
Chura kiziwi hasikii kabisa.
Yule Bibi namlaani hadi vizazi vyake vyote.

Mungu Muue samia haraka.
Nduli iddi amini mama anaharibu Taifa lako Takatifu.
Unajua nchi ikipata kiongozi ambaye hajui Historia ya Nchi yake na hajui Nchi kama imeingia mikataba ya kimataifa kwaajili gani yeye anaonekana hajui hata Historia ya Tanganyika na Mahusiano yake na Dunia, Unajua Elimu ya Tanganyika na Zanzibar ni tofauti.
 
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.

Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.

Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama?

Nimejikuta namkumbuka mtawala Katili wa Nigeria Gen Sani Abacha alieponza nchi yake kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kumyonga Mwanaharakati na Mwanamazingia Ken Saro-Wiwa na wenzake mwaka 1995
Nadhani tungejadili ni zipi athari zitokanazo na kusitishwa uanachama mana sio dalili za kutekelezwa kwa hayo maagizo.
 
Sio kutengwa kwa nchi pekee yake ni pamoja na nchi kuwekewa vikwazo vya kijamii na kiuchumi
baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri, kufunguliwa mashtaka katika mahakama za mbali na mali zao kukamatwa huko ughaibuni
 
Back
Top Bottom