Je, Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola isipotekeleza mapendekezo yake?

Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.

Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.

Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama?

Nimejikuta namkumbuka mtawala Katili wa Nigeria Gen Sani Abacha alieponza nchi yake kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kumyonga Mwanaharakati na Mwanamazingia Ken Saro-Wiwa na wenzake mwaka 1995
We bwege hujawahi kumiliki akili, huo uanacham kwanza ni kuendeleza ukoloni, waufute unatusaidia nini? Natamani tungekuwa na strong President huyu mama simwamini. Wafute huo upuuzi wao hao ndiyo waliofadhili ule uhalifu wa mwaka jana, wakoloni wamerudi kwa mlango mwingine. Lissu ni kibaraka wao wa kutuharibu nchi yetu. Lissu hatoki kwa maelekezo yao, hivi hawaoni hata aibu? Ina maana hawaheshimu mahakama zetu? Mashoga hayo mambwa
 
Waisimamishe tu kwa kweli. Tutaendelea kudharau maazimio ya Kimataifa mpaka lini? Watu wanakuambia wanaanzisha Tume huru ya uchaguzi halafu mfumo wake unabakia ule ule wa zamani! Yaani wanabadilisha jina tu! Wanaambiwa kuwepo na mgombea huru, hawataki! Maridhiano ya kweli, hawataki! Haki za binadamu zinakiukwa, hakuna anayejali! Yaani ni kiburi kiburi tu.
 
MWANAMKE HUWA NASEMA HAFAI KUWA KIONGOZI KWA SABABU MWANAMKE AWEZI KUWA NA AKILI YA UONGOZI HATA SIKU MOJA ...ILA KUNA KITU HUWA SIKITAJAGI HAPA KUHUSU MWANAMKE KUTO KUFAA KUWA KIONGOZI NACHO NI "KIBURI CHA KIJAMBIO" HIKI NI KITU HATATI ZAIDI KUHUSU UONGOZI WA MWANAMKE NA SAMIA KAFIKIA HIYO HATUA.
 
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.

Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.

Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama?

Nimejikuta namkumbuka mtawala Katili wa Nigeria Gen Sani Abacha alieponza nchi yake kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kumyonga Mwanaharakati na Mwanamazingia Ken Saro-Wiwa na wenzake mwaka 1995
nadhani Tanzania ijikite zaidi katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wananchi wake. Nadhani hilo ndilo la msingi zaidi ya yote :1Head:
 
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.

Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.

Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama?

Nimejikuta namkumbuka mtawala Katili wa Nigeria Gen Sani Abacha alieponza nchi yake kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kumyonga Mwanaharakati na Mwanamazingia Ken Saro-Wiwa na wenzake mwaka 1995
Duh
 
Makaburu weusi CCM ni wabaguzi kuliko walivyokuwa makaburu weupe, hawa ni mashetani kabisa.
 
We bwege hujawahi kumiliki akili, huo uanacham kwanza ni kuendeleza ukoloni, waufute unatusaidia nini? Natamani tungekuwa na strong President huyu mama simwamini. Wafute huo upuuzi wao hao ndiyo waliofadhili ule uhalifu wa mwaka jana, wakoloni wamerudi kwa mlango mwingine. Lissu ni kibaraka wao wa kutuharibu nchi yetu. Lissu hatoki kwa maelekezo yao, hivi hawaoni hata aibu? Ina maana hawaheshimu mahakama zetu? Mashoga hayo mambwa
Lioneni hili zombie na siasa za kishamba
Bado hamjasema.
 
Kenya wakiona hivi wanafurahi sana,na mimi na sema fursa za kimataifa zikikosekana naenda uko kwao,tuone kama watanitimua kama South Afrika
 
Ameharibu Future za watoto wetu wa kike.

Hakuna agakaye kubali Kiongozi wa ngazi ya juu kuwa mwanamke.
Muanzilishi wa siasa za chuki ndani ya nchi hii ambazo zinaendelezwa na Samia ni mwanaume anaye itwa Magufuri kwahiyo hatutakiwi kumchagua mwanaume aongoze eti kwa sababu ya uovu wa Magu?.
Kuchukua ujinga wa mtu mmoja ukauunganisha na jinsia yote pia ni upumbavu na kukosa akili.
 
Back
Top Bottom